Jiwe kuu01
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 228
- 86
UDOM vipi nako?
udom me naona bado sasa sijajua ni kwangu au laahUDOM vipi nako?
mkuu we udom wamekujibu leo auWakuu naomba msaada hapa nashindwa kuchagua niende wapi kati ya UDSM-MCHAS (mbeya) na UDOM.. Kote kozi ni DOCTOR OF MEDICINE
Ushauri tafadhali kwa wenye experience
Yeah UDOM bosi.. wamejibu leomkuu we udom wamekujibu leo au
Write your reply...Me yangu ipo kimya sjajibiwa kitu sijui ndo nmepgwa chini auYeah UDOM bosi.. wamejibu leo View attachment 1615514
Write your reply...
Write your reply...Me yangu ipo kimya sjajibiwa kitu sijui ndo nmepgwa chini au
Subiria tu.. watu wengi wanasema hivyoWrite your reply...
Write your reply...Me yangu ipo kimya sjajibiwa kitu sijui ndo nmepgwa chini au
Kwann unasema hvyo... SijakuelewaWe jamaa una moyo!
kwan round 1 ulikua ushapata??Wakuu hii inamaanisha nini
Nimeingia kwenye Account nimekuta wameandika you already have admissionView attachment 1615526
Hapana mkuu ckuwa nimepatakwan round 1 ulikua ushapata??
Kwani hukuomba SUA kjna...?Hapana mkuu ckuwa nimepata
Kwani hukuomba SUA kjna...?Hapana mkuu ckuwa nimepata
kwan hakuna third round mwaka huu au ndiyo round ya mwsho hii
Sua niliomba ila hawajanipa taarifa zozote MrKwani hukuomba SUA kjna...?