University Admission Results 2020

University Admission Results 2020

Kesho ndo siku ya kuamua unaenda chuo au unatulia kusubiri mwaka mwingine. Mwaka jana kuna jamaa alikuwa na dvsn ONE ya tisa PCB alihairisha mwaka aiseee.
Nachokiona sio ufaulu mkubwa vijana wanaoupata ila naona serikali na taifa kwa ujumla tupo usingizini. KCMC ana kuwa na admission capacity kubwa kuwashinda MUHIMBULI na UDOM hata wakiungana. Na vyuo vya serikali vina pewa ruzuku. Watumishi wake almost wanalipwa na kodi zetu lakini kupanua wigo wa udahili wameshindwa. Majengo wanayoyakutosha sasa sijui usingizi huu unatoka wapiii
 
Tumaini tayari mkuu
Kwangu inasoma hivi
Screenshot_20201029-090205.jpeg
 
Back
Top Bottom