University Admission Results 2020

University Admission Results 2020

Huu ujumbe una maana gani wadau?
Screenshot_20201101-081544.png
 
Mi naona kama umesha submit application af kuna kitu ukajaribu tena kufanya ndio ukapewa huo ujumbe wa kuku tahadharisha
 
sawa kijana wakati mwingine ni vyema ukawa humble yu never know

na hujui ni nani ataekusaidia kwenye hilo
but anyway no problem it was jus askn nijue namna ya kukushauri na kukupa hints fulani PM ila no problem.
F̤̈ä̤c̤̈ẗ̤ .....j̤̈ä̤m̤̈ä̤ä̤ ä̤l̤̈ï̤j̤̈ï̤b̤̈ṳ̈ b̤̈ï̤l̤̈ä̤ k̤̈ṳ̈f̤̈ï̤k̤̈ï̤r̤̈ï̤ä̤
 
sawa kijana wakati mwingine ni vyema ukawa humble yu never know

na hujui ni nani ataekusaidia kwenye hilo
but anyway no problem it was jus askn nijue namna ya kukushauri na kukupa hints fulani PM ila no problem.
Msamehe bure..itakuwa alipanic na maswala ya selection... Vitu vidogo tu hivo mzee...kama inawezekana msaidie.
 
sawa kijana wakati mwingine ni vyema ukawa humble yu never know

na hujui ni nani ataekusaidia kwenye hilo
but anyway no problem it was jus askn nijue namna ya kukushauri na kukupa hints fulani PM ila no problem.
Umeandika kwa hisia sana mkuu.! Nahisi maumivu uliyoyapata baada ya kuona jibu ulilopewa.
Tunafundishwa kusamehe.! Nawe huna budi kulitenda, kama ipo ndani ya uwezo wako msaidie.
 
Back
Top Bottom