University Admission Results 2020

University Admission Results 2020

Kuna classmate wangu kapata jana MD cuhas(Bugando)

Mkuu mbona huyu ameambiwa bado selection kutolewa hapo bugando
IMG_1869.png
 
Wakuu me niliomba vyuo kama vinne hivi
Nimeingia kwenye account zangu majibu Ni kama ifuatavyo

[emoji117]Udsm nimekosa

[emoji117]Sua Bado hawajatoa taarifa yoyote

[emoji117]CAWLM MWEKA Bado hawajatoa taarifa yoyote

[emoji117]MUCobs nimechaguliwa
Chakushangaza Ni kwamba kwenye status wameandika Nina multiple selection ila katika vyuo nilivyoangalia majib yakuwa selected nimepata yapo kwenye chuo kimoja2
Wakuu naomba msaada wenu wa kimawazo
Tafuta pdf ya TCU uwa wana toa majna ya wenye mulitple selection na vyuo walivyo kua selected
 
Back
Top Bottom