University Admission Results 2020

University Admission Results 2020

Hiyo
20201029_194550.jpg
 
Nenda Udsm Ya Mbeya Mkuu Utanishukuru
Wakuu naomba msaada hapa nashindwa kuchagua niende wapi kati ya UDSM-MCHAS (mbeya) na UDOM.. Kote kozi ni DOCTOR OF MEDICINE

Ushauri tafadhali kwa wenye experience
 
Wakuu naomba msaada hapa nashindwa kuchagua niende wapi kati ya UDSM-MCHAS (mbeya) na UDOM.. Kote kozi ni DOCTOR OF MEDICINE

Ushauri tafadhali kwa wenye experience
Nenda UDOM mkuu, Nimesoma hapo na napajua vizuri tu!!!
 
Kati ya course ya agicultural business and economic inayotolewa pale sua na bachelor of finance and banking ipi Bora kwenye upande wa ajira​
 
Back
Top Bottom