University Admission Results 2020

University Admission Results 2020

Wakuu hivi kwasisi ambao tumepata chuo kwenye round hii ya pili upande wa mkopo tunaweza pata katika hii batch ya Kwanza au tutasubiri Sana?
 
Hii course ya 'public health and environmental science' ya Muhimbili ina mkopo kweli?
 
"You were not invoiced in our system, please re-register or constant us"

Hii imekaajeh Wakuu..?
 
Back
Top Bottom