University Admission Results 2020

University Admission Results 2020

Mkopo tar 10
IMG-20201019-WA0072.jpg
 
Hapo admin wao atakuwa amevujisha mze au system tu imeyumba
Lakini habari kutoka chanzo cha kuaminika zinasema had tar 26 tokeo litakuwa wazi.
Wacha tusubiri tuone this week inakuwaje
Tokeo kwani mmefanya mtihani gani?
 
Chuo kikuu zinaitwa Admission letters, na sio hivyo ulivyoandika.
Hata jouning instruction pia chuo zipo. Admission letter pia zipo. Baadhi ya vyuo zinakuwa tofauti, admission letter unapewa na joining instruction pia unapewa. Eg CBE.
 
WAJUBA, SOKOINE UNIVERSITY(SUA) WAKIANZA KUTOA SELECTION HUKO KWENYE ACCOUNTS TUSTUANE KIROHO SAFI
 
Back
Top Bottom