University Admission Results 2020

Wakuu hivi mwaka huu selection zinaweza zikaishia hizi hizi mbili tu au Kuna uwezekano wakaongeza Tena?
 
Ndiomana nimeingia kwenye Account ya CAWM nimekuta dirisha Bado liko wazi nikawanajiuliza imekaa kaaje hii
 
vyuo vyote ilikuwa jana.....sema kuna taarifa kuwa wameongeza muda. Inawezkana na hao cbe wakawa wameongeza muda.
 
Hii AVN kwangu kuipata ni ishu, kuna namna gani rahisi kuweza kuipata mkuu? Kwenda kwao NACTE wenyewe ama?
kama matokeo yako yameshafika nacte, njia rahisi ni kwenda nacte, mana wana verify kwa mtu mmoja mmoja, ila ukiwafata pale tatizo lako linarekebishwa muda huohuo. Nilienda nacte zaid ya mara nne...haya mambo haya.
 
Back
Top Bottom