University Admission Results 2020

University Admission Results 2020

kama matokeo yako yameshafika nacte, njia rahisi ni kwenda nacte, mana wana verify kwa mtu mmoja mmoja, ila ukiwafata pale tatizo lako linarekebishwa muda huohuo. Nilienda nacte zaid ya mara nne...haya mambo haya.
Ukienda tatizo linarekebishwa muda huohuo ama halirekebishwi muda huohuo?
 
kama chuo kimeshatuma matokeo full, namaanisha soft copy na hard copy ...Tatizo lako ni hapohapo...unaondoka na avn mkuu.
Hapa nikirequest online wanasema registration number ya chuo nilichosomea diploma na mwaka niliomaliza havipo ktk data base yao.
 
Hapa nikirequest online wanasema registration number ya chuo nilichosomea diploma na mwaka niliomaliza havipo ktk data base yao.
Usiweke registration no. Ya chuo... Weka registration no. Ya form four na mwaka uliomaliza form 4... Kama una uhakika matokeo yenu yakishapelekwa nacte... Basi ukirequest Avn no. online unaipata mda huo huo baada ya kulipia.
 
Wakuu nafikiri Udahili umeshafungwa kwa awamu hii yapili

Screenshot_20201019-130146_WPS%20Office.jpg
 
Daah, kwahiyo tusiopata nafasi ya kuapply ndo basi tena?
Mkuu jaribu Tena Maana University of Iringa wamenitumia txt muda huu wananiambia nimalizie kufanya application kabla ya tareh 22
 
Mimi AVN wamenambia nitaipata ndani ya siku 5.
Duuuuh

Sema usikate tamaa Nina imani Watafungua dirisha kwa mara nyingine


Ukisoma vizur barua yao hapo wanaweza wakafungua Tena

Vuta subrah
 
Hivyo wanafanya verification kwa kuangalia matokeo yaliyopo kwenye system yao,yaliyotumwa na chuo na kuangalia vyeti vyako ulivyo enda navyo au inakuaje...!Ufafanuzi kidoko kwa wewe uliefika Nacte...!
huna haja ya kwenda na cheti chochote pale. Uwe unakumbuka namba yako ya form four tu. baasi kila kitu kinaonekana,kama matokeo yako yametumwa unapata award verification number.
 
huna haja ya kwenda na cheti chochote pale. Uwe unakumbuka namba yako ya form four tu. baasi kila kitu kinaonekana,kama matokeo yako yametumwa unapata award verification number.
Kesho mapema tu miguu yangu ipo ktk office zao.

Sasa Mkuu TCU si wameshafunga dimba tayari?
 
Nilimaanisha dirisha la pili wamefunga leo kwani nimekosea na pia siwezi leta barua kabla sijaiaoma hadi mwisho mkuu
Hahaha sawa mwanafunzi mwenzangu.

Mimi nasubiria huo utaratibu wakaotupa.
 
Back
Top Bottom