Jiwe kuu01
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 228
- 86
Siku tatu zimebaki mbivu na mbich kujulikana


Mkuu, taratibu lakiniSiku tatu zimebaki mbivu na mbich kujulikana![]()
Hilo halipo vyuo vimejaaaKwa mliyoomba vyuo vya afya dirisha la piliView attachment 1606963
Hahahahaaa, pole kijan... Ila cheza kwa step usimkanyage mwenziohapa nilipo mavi yananibana kila nikiwaza matokeo ya chuo dilisha la pili
mkuu mara ya kwanza niliomba vyuo 7 nikakosa vyote, sasaivi nimeongeza 2 jumla 9 nina mawazo hatariHahahahaaa, pole kijan... Ila cheza kwa step usimkanyage mwenzio
mkuu mara ya kwanza niliomba vyuo 7 nikakosa vyote, sasaivi nimeongeza 2 jumla 9 nina mawazo hatari
Mkuu, ni kozi gani hyo .bona vyuo ni vingi mno..?mkuu mara ya kwanza niliomba vyuo 7 nikakosa vyote, sasaivi nimeongeza 2 jumla 9 nina mawazo hatari
MD haoMkuu, ni kozi gani hyo .bona vyuo ni vingi mno..?
Huu mwaka mgumu sana kwao...watu nyomi...yaani dah bila kuwa na hela za kutosha za kwenda vyuo kama kairuki n.k hiyo kozi unaweza ukajikuta ndoto zako zimeishia hapo...
mkuu mara ya kwanza niliomba vyuo 7 nikakosa vyote, sasaivi nimeongeza 2 jumla 9 nina mawazo hatari




vyuo saba ukakosa,duh kozi gani hiyo unaombaVipi wadau majibu ya second round yameanza kutoka au????
MD Mkuuvyuo saba ukakosa,duh kozi gani hiyo unaomba
Mkuu inshallah utapata kwenye hii second roundMD Mkuu