Jiwe kuu01
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 228
- 86
Dadek Hamna k2Ulete feedback basi
Dadek Hamna k2Ulete feedback basi
Weka screenshot kama vipi.. Ila masikhara kwenye vitu vya muhimu sipendelei usije ukanisababishia ban kiongozitayari mkuu
Mkuu si chenyewe tu tayari kinajieleza km ni public (National)hiv chuo cha NIT n private au public owned....mweny kufaham anifahamishe
publichiv chuo cha NIT n private au public owned....mweny kufaham anifahamishe
mbna ada zao ndefu san ukilnganisha labda na udom
TCU wamekiandika kama unpublic kweny kitabu chaoo
Duuh hataree...hicho chuo ni cha private or?kuna chuo nili mfanyia application dg coz ya biashara Leo wamempigia cm et wanaomba wamuweke education kama yupo tayar hv wapo serious kwel hawa
ndio n privateDuuh hataree...hicho chuo ni cha private or?
Hapo labd nafas zimejaa ktk cozi aliyoomba, so Kama kusoma education cyo mpango wake... Basi aendelee kusubiri kama aliomba na vyuo vingine.ndio n private
Acha tu mkuuKwani umeshindwa kuipata online?
chuoo gan ichoo mkuukuna chuo nili mfanyia application dg coz ya biashara Leo wamempigia cm et wanaomba wamuweke education kama yupo tayar hv wapo serious kwel hawa
sautchuoo gan ichoo mkuu
saut ya mkoa gansaut
Mbeyasaut ya mkoa gan
mmmhh!!mbeyaa cjajua nlijua mwanza nkuunganishe na mtu awekee mambo sawaMbeya