Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 718
- 1,202
Hapo patamu...vip lakini ushaomba kwingine?hamna kozi ninayoitaka mkuu
Hapo patamu...vip lakini ushaomba kwingine?hamna kozi ninayoitaka mkuu
naskia 26 mwezi huu.Hivi majibu ya round two ni lini??????
duuh, vyuo 7 mkuu1st round nimechagua vyuo 7 na matokeo yangu yapo fresh ila sijapata chuo ata kimoja, now nimejaribu second round nione ntapata au napo ntatoka kapa
....Yah kakaHapo patamu...vip lakini ushaomba kwingine?
Tar 24naskia 26 mwezi huu.
anhaa, bass vizuri..ngoja tusbiriTar 24
Duh sio poa mkuu1st round nimechagua vyuo 7 na matokeo yangu yapo fresh ila sijapata chuo ata kimoja, now nimejaribu second round nione ntapata au napo ntatoka kapa






Uoiii...Uooooiiii...Uuuuuooo...uoiiiiiiiiiiiMm mwenyewe nimenyimwa nafasi kwa uoi![]()
ndio ivyo mkuu, hali mbaya.Duh sio poa mkuu![]()
Unakisema kina ukweli aiseeeKuna walioomba dirisha la kwanza na hawajapata hivi selection Zina upendeleo Sana, Ina maana diploma hawana haki
yah kuna baadhi ya kozi wanapendelea zaid fresh, nyingi ni za sayansi. Ila pia kuna baadhi ya kozi wanapendelea zaid Diploma, mfano business.Unakisema kina ukweli aiseee
Inatagemea na coz...kama kuna competition kubwa na chuo ulichoomba lazima utemwe...mtu mwenye diploma ya CO aende akaombe Muhas seriously?... Yaani hatakama ni mimi nina GPA 4.5 siombii...natafuta vyuo vingine ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kupataUnakisema kina ukweli aiseee
Mm nilikuwa na 4.4 na math olevel nina C na nikatemwayah kuna baadhi ya kozi wanapendelea zaid fresh, nyingi ni za sayansi. Ila pia kuna baadhi ya kozi wanapendelea zaid Diploma, mfano business.
Unaweza ukawa na GPA ya 4.7 UD ukatemwa, akachkuliwa mwenye divission 2. UD wanaangalia zaid matokeo ya form 4. Ni kawaida mkuu.
matokeo yako ya olevel yatakuwa ya mwaka 2013 wewe ndio maana umetemwaMm nilikuwa na 4.4 na math olevel nina C na nikatemwa
Uliomba wapi na kozi gani?Mm nilikuwa na 4.4 na math olevel nina C na nikatemwa
asante sanaKaribuni sana Mzumbe Main Campus
Pole mkuu vyuo 7 !!!!1st round nimechagua vyuo 7 na matokeo yangu yapo fresh ila sijapata chuo ata kimoja, now nimejaribu second round nione ntapata au napo ntatoka kapa