University Admission Results 2020

Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
4,562
2,000
ETI WAJUBA KUNA MTU MWINGINE KACHAGULIWA CHUO KWA HILI DIRISHA LA PILI...?
MAANA KUNA MTU KANAMBIA YE KACHAGULIWA CHUO KUPITIA DIRISHA HILI INGAWA BADO HALIJAFUNGWA.

KAMA KUNA MTU MWINGINE/WENGINE WAMECHAGULIWA NAOMBA TUJUZANE ASEEH NA TUENDELEE KUPEANA UPDATES KWA KILA CHUO
 
Jiwe kuu01

Senior Member
Jul 30, 2020
120
225
ETI WAJUBA KUNA MTU MWINGINE KACHAGULIWA CHUO KWA HILI DIRISHA LA PILI...?
MAANA KUNA MTU KANAMBIA YE KACHAGULIWA CHUO KUPITIA DIRISHA HILI INGAWA BADO HALIJAFUNGWA.

KAMA KUNA MTU MWINGINE/WENGINE WAMECHAGULIWA NAOMBA TUJUZANE ASEEH NA TUENDELEE KUPEANA UPDATES KWA KILA CHUO
Kuchaguliwa!!

Chuo gani mkuu!!

Heb tuelekeze vzr Imekuaje kuaje
 
Johnnybravo

Member
Nov 29, 2019
21
45
ETI WAJUBA KUNA MTU MWINGINE KACHAGULIWA CHUO KWA HILI DIRISHA LA PILI...?
MAANA KUNA MTU KANAMBIA YE KACHAGULIWA CHUO KUPITIA DIRISHA HILI INGAWA BADO HALIJAFUNGWA.

KAMA KUNA MTU MWINGINE/WENGINE WAMECHAGULIWA NAOMBA TUJUZANE ASEEH NA TUENDELEE KUPEANA UPDATES KWA KILA CHUO
Hapo admin wao atakuwa amevujisha mze au system tu imeyumba
Lakini habari kutoka chanzo cha kuaminika zinasema had tar 26 tokeo litakuwa wazi.
Wacha tusubiri tuone this week inakuwaje
 
Mwanakulipata

JF-Expert Member
Jul 17, 2018
388
500
ETI WAJUBA KUNA MTU MWINGINE KACHAGULIWA CHUO KWA HILI DIRISHA LA PILI...?
MAANA KUNA MTU KANAMBIA YE KACHAGULIWA CHUO KUPITIA DIRISHA HILI INGAWA BADO HALIJAFUNGWA.

KAMA KUNA MTU MWINGINE/WENGINE WAMECHAGULIWA NAOMBA TUJUZANE ASEEH NA TUENDELEE KUPEANA UPDATES KWA KILA CHUO
Inawezekana..kuna mwanangu mmoja hivi alichaguliwa dirisha la kwanza hata kabla halijafungwa...yaani kabla hawajafunga yeye kishachaguliwa palee CBE...na mpaka sasaivi ana Admission letter kila kitu fresh kabisa.. Na kuna mwengine alichaguliwa st john mapema tu ..sasa sijui inakuaje
 
lucasm00

Member
Oct 2, 2020
6

Yah kwer st john ni mapema tu walichagua ata admission
 
Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
4,562
2,000
Inawezekana..kuna mwanangu mmoja hivi alichaguliwa dirisha la kwanza hata kabla halijafungwa...yaani kabla hawajafunga yeye kishachaguliwa palee CBE...na mpaka sasaivi ana Admission letter kila kitu fresh kabisa.. Na kuna mwengine alichaguliwa st john mapema tu ..sasa sijui inakuaje
Naye kanambia ni CBE - DSM
 
vampire123

JF-Expert Member
Apr 17, 2016
831
500
kwnn mkuu
Niliangaika sana ku reapply baada ya kunitosa 1st selection ambapo kwa mujibu wa maelezo yao ili kureapply ni lazima uwatafute kwa njia ya simu. Niliangaika karibia siku tatu ukiwapigia hawapatikani na wakipatikana wanatumika all the time, kuna muda nashukuru mungu nikawapata hewani nikawaeleza wakaniambia niwaachie form four index number na namba ya mawasiliano wakasema watanitumia link hapa ilikuwa tar 15, nikaendelea kusubiria tarehe 16 hola 17 nikaamua kuwatafuta the same hawapatikani wanatumika all the time. Jana ndo ilikuwa siku ya mwisho napo ni wikiendi so hawalupatikana kabisa now dirisha lishafungwa.
 
ismail hassan

JF-Expert Member
Jul 16, 2017
345
1,000

aisee, pole sana mkuu. Hivi vitu vinaumiza sana kichwa.
Ila pia nadhan huku apply hapo tu. Mungu ni mwema utapata kwengine.
 
willom10

Member
Apr 14, 2018
89
95
Niliangaika sana ku reapply baada ya kunitosa 1st selection ambapo kwa mujibu wa maelezo yao ili kureapply ni lazima uwatafute kwa njia ya simu. Niliangaika karibia siku tatu ukiwapigia hawapatikani na wakipatikana wanatumika all the time, kuna muda nashukuru mungu nikawapata hewani nikawaeleza wakaniambia niwaachie form four index number na namba ya mawasiliano wakasema watanitumia link hapa ilikuwa tar 15, nikaendelea kusubiria tarehe 16 hola 17 nikaamua kuwatafuta the same hawapatikani wanatumika all the time. Jana ndo ilikuwa siku ya mwisho napo ni wikiendi so hawalupatikana kabisa now dirisha lishafungwa.

Kwenye account yako hamna sehemu yaku reapply???? Hadi uwapigie simu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom