REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,963
ExactlyMasihi dajjal
ExactlyMasihi dajjal
Mkuu lazima itokee haikwepeki trust meHaya huwa wanajifariji tu, ila haitakuja kutokea.
RFID 666 mark of the beast "Ufunuo 13:15-18
Amri mpya ya dunia ,serikali moja na dini mojaNew world order ni nini?
Ukiwa na hiyo chip nini kitatokea kwako?
Huoni gjza kwa kuona Bali giza ni absense of light .Sasa mkuu hilo giza nalo si ndo unaliona ?
Au kwenye giza totoro unataka uone nini zaidi ya giza hilo ?
Sijakuelewa.Masihi dajjal
Haitakuja kutokea sababu hapa duniani kuna watu wana akili kuliko hata hao wanasayansi na wanao panga hizo hila, hii dunia wana sahau ya kuwa ina mwenyewe.Mkuu lazima itokee haikwepeki trust me
Haitakuja kutokea sababu hapa duniani kuna watu wana akili kuliko hata hao wanasayansi na wanao panga hizo hila, hii dunia wana sahau ya kuwa ina mwenyewe.
Haitakuja kutokea sababu hapa duniani kuna watu wana akili kuliko hata hao wanasayansi na wanao panga hizo hila, hii dunia wana sahau ya kuwa ina mwenyewe.
Hapa kama una maelezo ya ziada ukinipa itakuwa bora zaidi.Mwenyewe kasema inatokea na atakuwa kashachukuwa wake
Mwenyewe kasema inatokea na atakuwa kashachukuwa wake
MUUMBA VYOTE AMBAYE HANA MWANZO WALA CHANZONani kasema?
kasome maneno yake aliyoyatuma kwa kupitia lugha za binadamu.Hapa kama una maelezo ya ziada ukinipa itakuwa bora zaidi.
Huoni gjza kwa kuona Bali giza ni absense of light .
Nimecheka sana. Kwahiyo wanasayansi hawana hila ?Mwanasayansi apoteze muda wake kukupangia hila wewe au kapuku mwingine! Unajitutumua sana Zurri.
Nimecheka sana. Kwahiyo wanasayansi hawana hila ?
MUUMBA VYOTE AMBAYE HANA MWANZO WALA CHANZO
Naomba unikumbushe chief, maana huwa nayasoma karibu kila siku.kasome maneno yake aliyoyatuma kwa kupitia lugha za binadamu.