Unique sisters wako wapi?

Kuna mmoja alikua close sana na eddy wa itv sijui kaolewa na huyo jamaa au vp? Kama hamumjui ebu google "Unique Sisters-zaidi yako" yupo nae amemkumbatia kwa nyuma anacheza nae,mie nampenda yule mweupe kidogo mwenye kithethe(Radhia)!

asee,huyo radhia mwenyewe namkubali sana,akiingia anga zangu naweza hata kumbaka eti.
 
Mambo vp wakuu?naomba kuuliza,mwenye kujua hawa wadada wanandugu wanao unda hili kundi lililopata kuwika mwanzon mwa miaka ya 2000 wako wapi na wanafanya nin anijuze?

Mimi nahitaji kama mtu ana link aitupie humu ya ile nyimbo yao waliomshirikisha Dogo Hasheem..
 
Mimi nahitaji kama mtu ana link aitupie humu ya ile nyimbo yao waliomshirikisha Dogo Hasheem..

Mmmhhh mkuu usiwe unachanganya wimbo wao waliomshirikisha MAc Dee unaitwa Bounce usiku bado mchanga mbalamwezi inawaka alikuwa anautwanga sana DJ JD.
 
Mambo vp wakuu?naomba kuuliza,mwenye kujua hawa wadada wanandugu wanao unda hili kundi lililopata kuwika mwanzon mwa miaka ya 2000 wako wapi na wanafanya nin anijuze?

Uniques Sisters hawajaanza muziki mwanzoni mwa 2000 bali 90's kama sikosei 96 au 97 we fikiria tu chemsha bongo wa profesa jay ulitoka mwaka 2000 na pia kuna wimbo soggy aliwashirikisha unique sisters mwaka 98 wimbo unaitwa nikisema luv say I luv u too nikisema need I need u too.(Acha huo wa Dully)
 
Wewe ndie pekee uliyetoa jina la ukweli. Hawa great thinkers wengine naona wameamua kutunga majina yao wenyewe.
Hahaha hayo ndio majina ya kijapenga seriously.

jaribu kuyatafuta kama hutazimia na mbavu zako:A S wink:
 
Back
Top Bottom