Coz gan?sijutiii ila siwezi kumshauri mtu asome course yangu na nikiona mtu anaichagua namuuliza mara mbili mbili
Ushauri mzuriSoma course ambayo pia unaweza kujiajiri mwenyewe endapo utakosa kuajiriwa na serikali au kampuni fulani.
Nililazimishwa na mzee wangu, namshukuru maana aliona mbali sana, sijutii kabisa.Wakuu nimerudi na uzushi tena🤣🤣🤣
Saivi ni Kwa wale wasomi wenye 25+yrs 🤣
SWALI NI; Je unajutia kusoma profession uliyosomea?
Kama ungepewa nafasi ya kuchagua tena ungesoma kozi ipi 🧐??
🙏🙏
Natanguliza shukrani Jumapili njema kwenu wadau