umeambiwa mtu na co watu. plz chagua m1
Nyie mnaochagua watatu, wanne na kuendelea mnataka mjimilikishe halafu sie tuwapate kina nani? Au ndo mnataka kutupa option ya kina cameron?
Nyie mnaochagua watatu, wanne na kuendelea mnataka mjimilikishe halafu sie tuwapate kina nani? Au ndo mnataka kutupa option ya kina cameron?
Hapo mwake,japo beibe nasty ni shost wangu,ila kwa baridi hili Junior. Cux,tutagombana.
Me nina ujotoooo....!!!huo balaa.
Nakuagizia dereva wangu akufate Junior. Cux
Nyie mnaochagua watatu, wanne na kuendelea mnataka mjimilikishe halafu sie tuwapate kina nani? Au ndo mnataka kutupa option ya kina cameron?
mi ningemchagua madameB,ila inaonekana nafasi imejaa ngoja nikumbatie muto
siwezi kumtaja inawezekana ana mtu tayari.....ambaye yuko free ajitaje basi nitoke naye
pole mwaya..
Junior. Cux we c umesema una wako,
kumbuka "kizuri kula na nduguyo..."!!
Junior. Cux we c umesema una wako,
kumbuka "kizuri kula na nduguyo..."!!
Ruhazwe JR, Uache mto we njoo tu,mi ningemchagua madameB,ila inaonekana nafasi imejaa ngoja nikumbatie muto
mkuu unaonaje tuonge biashara uniuzie madameB,Japo na mie nipate kitoto kidogo.maana gari bovu haliwezi vuta lyenzie,naitaji gari la kunivuta madameB atanifaa.
mimi mmoja hanitoshi labda smile,lizzy na kongosho kwa pamoja..
ah hapo itakua ngumu mkuu, we chagua jf nzima but madame B wangu niachie...