Ungependa ufukuze baridi hii na nani hapa JF?

Nyie mnaochagua watatu, wanne na kuendelea mnataka mjimilikishe halafu sie tuwapate kina nani? Au ndo mnataka kutupa option ya kina cameron?

inabidi ubadili dini ili ufaidi 4 in 1. Wengine tumetaja wengi kupoteza maboya lakini anaye hitajika ni mmoja tu naye anajijua.
 
Junior. Cux we c umesema una wako,
kumbuka "kizuri kula na nduguyo..."!!

taratibu basi,maana utaaribu biashara ambayo nimeianza na Jc kuhusu wewe.nataka uje kwangu mi mzee sintokuchosha,kwanza kabla ya mechi tunasali ili tusije kugandana
 
Last edited by a moderator:
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom