Ungependa ufukuze baridi hii na nani hapa JF?

aisee ngoja nikae pembeni kwanza nione kama kuna mtu atamchagua.
lakini hii baridi si nchi nzima.

pia naona bora kuhamia mji wenye joto.

ngoja nione.
 
Mamayangu eee nimepitwaje na huu uzi mtamu hivi. Mamndenyi ana mwanaume mpya mpya tena mmmmh. jina lake ni .................... kama we unamjua jaza hapo.
 
Last edited by a moderator:
ha ha haaa
kumbe umenitaja
mwaya kaa mkao wa kula
i am on the wey............

Hili swali halijanitendea haki, ungejaribu kusema na wakina nani.. kwa upande wangu mmoja hata ntosha.!!!
beibe nasty
madame b
smile
charminggirl
mamdenyi
na yule mwingine mweupe mweupe..
hapo kidogo ndo itasaidia.!!
 
Back
Top Bottom