Ungependa ufukuze baridi hii na nani hapa JF?

Duu mpaka mida hii hakija eleweka kabisaaa sijui MWALI ndio kanitosaa au kunakidume kisha mnyakua.

Tafadhali jaman tusije fanyiana kitu mbaya bureee.

uuwapi MWALI plz jaman chaguo langu sandakarawe leo imekudondokea wewe naumbo ujongee karibu yangu baridi litaniua jaman.??
 
Mimi ningetoka na mzee kuliko wote sasa sijui ni nani. manake hawa ndo wanaskia baridi zaid kuliko vijana. kama yupo anitonye. but lazim uwe mzee siyo kijana. Masharti na vigezo kuzingatiwa.
 
Back
Top Bottom