Ungependa ufukuze baridi hii na nani hapa JF?

Mimi ningetoka na mzee kuliko wote sasa sijui ni nani. manake hawa ndo wanaskia baridi zaid kuliko vijana. kama yupo anitonye. but lazim uwe mzee siyo kijana. Masharti na vigezo kuzingatiwa.

Hivi wewe Asprin ndiye mzee kuliko wote hapa jf?
 
Last edited by a moderator:
wee Asprin, huku umefuata nini?
Ujue Lizzy mtani wangu.
Hahahaha Kongosho bana. naikumbuka ile andawea yako ya njano ya kufunga kwa kamba.....

Mimi ningetoka na mzee kuliko wote sasa sijui ni nani. manake hawa ndo wanaskia baridi zaid kuliko vijana. kama yupo anitonye. but lazim uwe mzee siyo kijana. Masharti na vigezo kuzingatiwa.
Hivi gfsonwin mpaka leo hujajua hapa JF anayenifuata kwa umri ni babu mwenzangu retired Major Dark City ?

Haya do the needful basi uje huku uswazi. Si unajua joto la uswazi lilivyo? Nakusubiri.
 
Wadau kutokana na haka kajimsimu kaubaridi maeneo mengi ya tanzania hususan hapa dar.
Kama ungepewa nafasi ya kutoka na mtu hapa jf ungemchagua nani??

Mim ningependa kuchomoka na mdada 1 anaitwa MWALI ili tuikemee na kuifukuza hii barid wewe je??

Aku! Sitaki matatizo na mtu mimi
 
jamani hamna anayezubaa zubaa aje aniokoe na baridi la hapa Njombe, ntamtumia tiketi ya ndege hado Iringa.
 
mhh jamani haka kaubaridi sio mchezo. nimepita maeneo ya mbugani watu washawinda mapema na wamemaliza wanyamapori wooote watu wamewinda mpaka simba duuuu. kweli baridi noma aiseee
 
Very biased question. Mbona hujaweka altenative kwa wadada wa humu kuwa wao wangependa kutoka na mkaka yupi?
Jamani kutoka sio lazima kuwe engineered na kuwa financed na mwanaume tu, ninawajua wadada kadha wa hapa jf ambao wanazungusha raundi kadha hata kwa meza ya wakaka10!

Not true. Hajabagua jinsia ila yeye kwa kuwa ni mkaka, atatoka na mdada. Nawe mdada uko free.
 
Back
Top Bottom