Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
Anza kuniadmaya na mimi basi...teh teh!!
wewe mbona upo kwenye list siku mingi sana
Anza kuniadmaya na mimi basi...teh teh!!
******** aisee.😡
nime-edit my comment (hebu check tena), nfikiri na wewe upo pia
Mi nna mme wangu sitaman cha mtu miee hata hapa atanisomaa tuu nampenda kuliko kitu chochotee
mbona umekunja ndita? hupendi Wachaga wewe?
Mapenzi raha jamani.......
Mapenzi raha jamani.......
Mapenzi raha jamani.......
we una mpenzi?
Raha sana kwa anaejua nin maana ya mapenzii,
Sina........,
Mapenzi ya kweli. Sio mapenzi tu.
Mama Kijacho
Mapenzi ya dhati.....haya mengine kuumizana mioyo tu
bish go to hell
Sina........,
Kudanganyana
hujalala tu baba Kijacho
Kumbe mimi ni buzi au nani wako?