Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
Swalama..?
swalama........mambo ni aje
Swalama..?
Vyakumalizaje bibiye...
sijui nisemaje kiswahili fresh......nawa admire wengi
swalama........mambo ni aje
Wewe tu wewe tu. Wewe pekee
Vidume vingi vyanimaliza humu ndani nashindwa hata kuchagua
Kumbe JF palikuwa patamu eeeh? Aisee nilichelewa kuzaliwa. Duh.
Funguka basi na wewe...
Aka mie.
Lmao bad girl.
sijui nisemaje kiswahili fresh......nawa admire wengi
unaogopa nini? talaka au tindikali?
mi nawajua wale tu (kutokana na comments zao na mitazamo yao khs wanawake) nisingeweza kutoka nao kabisa hata kama ningepewa billions of money.
Lmao!! Hahaaa
mimi je?