Ungepata nafasi ya kuzaliwa tena je, bado ungechagua kuzaliwa katika familia hiyo hiyo na wazazi hao hao?

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
432
Wakuu, naombeni experience zenu hapa chini!

Mdahalo huu unalenga tafakari ya kina kuhusu nafasi ya familia katika maisha ya mtu.

Swali ni “Ungepata nafasi ya kuzaliwa tena je, bado ungechagua kuzaliwa katika familia hiyo hiyo na wazazi hao hao?” Kuanzia malezi, upendo, changamoto, maadili, na namna mazingira ya nyumbani yanavyojenga au kuvunja ndoto na utu wa mtu.

Haya twende kazi​
 
Sio kitu ulichotakiwa kukaa na kuwaza. Mada za kuanzisha zipo nyingi tu unaweza kuzitoa hata quora ukazileta
 
Jibu ni ndio, maana haijalish natokea katka familia ya aina gan, masikini au yenye kipato cha kawaida. Mim ndio ninatakiwa Niwe chachu na mabadriko katka familia!

NOTE; MUNGU ndiye anayepanga, huwez kulazimisha sikio liwe ambapo huwa pua na pua iwe linapokua sikio! NEVER EVER.
 
Hizo akili zako za kukataa wazazi zikemee kwa jina la yesu
 
Back
Top Bottom