Ungekuwa ww Ungefanya nini?

JosephElly

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,432
1,034
Mfano unababu yako ambaye ni tajiri sana. Katika dakika zake za mwisho karibu anakata roho anakuita. Anakwambia mjukuu wangu, nimekuachia milioni 100 kwenye kwe.. K....nye .. Kwe..... alafu anakata roho.... Utafanya nn?
 
mh!
mimi ni mbovu kwenye haya mambo yakufikirika!
nawapisha wengine.
 
aah... Sasa kwa kuwa anaziacha ndo hazina thamani? hapa bado utata

Hapa utata unautolea wapi ? Wewe ndo unau'create by force uwepo! Utaniuliza kivipi? Kihivi - huyu keshakufa hajasema! Dismiss case !
What do you do ? Ili umfufue aseme?
Everforever ! You can't !
Na haina maana pesa imepoteza value, no no ! Tafuta hayo mavumba pasina hitajio la msaada toka deceased!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom