Ungekuwa jogoo......?

NYENJENKURU

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
1,036
244
Ningekusubili bandani kazi yote namalizia bandani kuanzia saa moja jioni mpaka saa 12 asubuhi kabla ya banda kufunguliwa nashushia la mwisho.Mchana mzima akhaaa mimi nasubili jioni tu maana kukimbizana kunachosha sana unambulia mara moja tu.,heri usiku bandani hakuna kukimbizana sana ni papo kwa papo BEBIIIIIIII
 
afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,153
9,018
Napiga kelele usiku mzima hakuna kulala..
Usumbufu kwa kwenda mbele ..... kokoooooorikoooooo halafu nalala mchana ..
 
Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,902
3,077
Kweli JF imekuwa Facebook.. Yaani post ya dem tu(tena post za ki'facebook)..ina comments nyingiii, na likes kibao.... Haya bhana great thinkerz! Bebii..siwezi kujibu hilo swali maana mimi tayari ni kijogoo! :)
 
Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,360
11,568
Kweli JF imekuwa Facebook.. Yaani post ya dem tu(tena post za ki'facebook)..ina comments nyingiii, na likes kibao.... Haya bhana great thinkerz! Bebii..siwezi kujibu hilo swali maana mimi tayari ni kijogoo! :)
sometimes hapa tunaruhusiwa kuwa na fun topic na kucheka na marafiki zetu mkuu
 
Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,902
3,077
sometimes hapa tunaruhusiwa kuwa na fun topic na kucheka na marafiki zetu mkuu
ni kweli Bebii sijakata hilo, ndio maana kuna jukwaa lake. Tehetehetehehe... :) Mimi ninaamini mwanaume angeianzisha hii topic, asingepata post zaidi ya 5, ila kwa kuwa ni wewe Bebii.........
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom