ungekuwa jogoo......?
<br /><b>ungekuwa jogoo......?</b>
<br /><b>ungekuwa jogoo......?</b>
Hahaha! me too lol!Ningeanza na wewe.
Hahaha! me too lol!
ungekuwa jogoo......?
Nawe pia ningekukimbiza hadi kukukamata lol!Mh..bebii what did you have in mind?
sometimes hapa tunaruhusiwa kuwa na fun topic na kucheka na marafiki zetu mkuuKweli JF imekuwa Facebook.. Yaani post ya dem tu(tena post za ki'facebook)..ina comments nyingiii, na likes kibao.... Haya bhana great thinkerz! Bebii..siwezi kujibu hilo swali maana mimi tayari ni kijogoo!
ni kweli Bebii sijakata hilo, ndio maana kuna jukwaa lake. Tehetehetehehe... Mimi ninaamini mwanaume angeianzisha hii topic, asingepata post zaidi ya 5, ila kwa kuwa ni wewe Bebii.........sometimes hapa tunaruhusiwa kuwa na fun topic na kucheka na marafiki zetu mkuu
<br />Nawe pia ningekukimbiza hadi kukukamata lol!