Ungekuwa jogoo......?

Ungekuwa jogoo......?

ni kweli Bebii sijakata hilo, ndio maana kuna jukwaa lake. Tehetehetehehe... 🙂 Mimi ninaamini mwanaume angeianzisha hii topic, asingepata post zaidi ya 5, ila kwa kuwa ni wewe Bebii.........
kwani mimi mwanamke? hapa jf huwezi jua jinsia ya mtu bana wengine wazee 60 yrs tena wa kiume wanajiita mabinti humu
 
Kweli JF imekuwa Facebook.. Yaani post ya dem tu(tena post za ki'facebook)..ina comments nyingiii, na likes kibao.... Haya bhana great thinkerz! Bebii..siwezi kujibu hilo swali maana mimi tayari ni kijogoo! 🙂
ni kweli Bebii sijakata hilo, ndio maana kuna jukwaa lake. Tehetehetehehe... 🙂 Mimi ninaamini mwanaume angeianzisha hii topic, asingepata post zaidi ya 5, ila kwa kuwa ni wewe Bebii.........
Dude chill basi kidogo mbona una ma-stress hivo ? hapa panaitwa chitchat sijui kama ulisoma hapo juu, tulifunguliwa kitengo hiki baada ya kuombwa tusichakachue thread za watu kusalimia,kutaniana,kutongozana,hapa we can spend hours discussing nothing,unashangaa nini ? chitchat comes from the word chatter look it up.
 
mweleweshe bana
 
Amweleweshe kuwa jogoo chit chat ruksa siyo? Nini jogoo bana, huku hata viatu tuanajadili, hatuna mipaka. Eti bebi, ungekuwa kiatu?
 
Kukanyagwa tena ? babu hapo mi simo lol!
Hahahha........ kiongozi unasepa?......... Sasa angekuwa dafu, si ungekimbia kabisa? Nani anapenda kuchokonolewa?

Mhhhhh!!! wewe kweli ni babu....lol

Mimi napita tu kuwasalimu, hope wote hamjambo wapendwa....!
Hatujambo rafiki, hivi we ungependa uwe jogoo au mtetea?
 
Mhhhhh!!! ngoja niwaze................

Usipite bana tulia kidogo,hujambo lakini ? ungekuwa kuku ungekubali kukimbizwa na jogoo gani wa JF ? lol!

Sijambo rafiki................ Mhhhh...unajua nimegundua kuwa mimi sio kuku.....lol...🙂
 
Hahaha...... basi bana nisije nikaharibu mazima manake huchelewi kusema bebi angependa kuwa chakula apakuliwe...........mi chimo!

Unaogopa kiatu bebi?
sanaaa
 
ningeanza na wewe bibii kila ukienda nipo nyuma tu asubuhi mpaka jioni na usiku pia yaana kila siku unataga!
 
Back
Top Bottom