Jogoo kuwika usiku wa saa nne inaashiria nini?

moyochuma

Member
Oct 27, 2022
25
29
Habari zenu wakuu!

Jamani naomba kuuliza Mimi Nina fuga kuku wakienyeji, sasa shida yangu ni kwamba jogoo wangu anawika usiku Saa NNE n madakika.

Hii imekaaje wakuu?
 
Hakuna shida sana kama kuku wako ni wale wapana ambao nusu wa kigeni nusu kienyeji . Kuna wa jirani yetu kule home wa kwake anawika saa 2
 
Habari zenu wakuu!

Jamani naomba kuuliza Mimi Nina fuga kuku wakienyeji, sasa shida yangu ni kwamba jogoo wangu anawika usiku Saa NNE n madakika.

Hii imekaaje wakuu?
Kwani umeambiwa jogoo huwa anawika sa ngap?
 
Habari zenu wakuu!

Jamani naomba kuuliza Mimi Nina fuga kuku wakienyeji, sasa shida yangu ni kwamba jogoo wangu anawika usiku Saa NNE n madakika.

Hii imekaaje wakuu?
Fanya haraka sana utengeneze chupiza chuma. Popo bawa kashaanza kuvinjari hayo maeneo. Na huyo jogoo kashamhis
 
Haya ndio madhara ya kukariri vi stori vya kipindi unasoma chekechea huko
 
Back
Top Bottom