Je, wajua tetea anaweza kutaga bila uwepo wa jogoo?

sam mirror 1

JF-Expert Member
Dec 17, 2022
587
1,416
Je, wajua tetea anaweza kutaga bila uwepo wa jogoo?

Watu wengi tumekua Tukiamini Ili Tetea Atage Lazima Awepo Jogoo Wa Kumpanda Ndio Yai Lipatikane...Kama Wewe Ni Miongoni Mwa Watu Wanaoamini Hivyo Bhasi Hili Somo Ni Kwaajili Yako. Kwasababu Unachokiamini Sio Sawa.

Tetea Akifikisha weeks 16-18 Anakua Tayari Ameshaanza Kuonyesha Dalili Za Kuanza Kutaga Kwa Kutoa Mlio Wa Kutetea(Ishara Ya Kuku Kupevuka Kwaajili Ya Kuanza Kutaga).

Mfumo Wa Utagaji Moja Kwa Moja(Automatically) Uanza Mchakato Wa Kutengeneza Yai Na Inachukua Masaa 24-26 Yai Kujitengeneza Lenyewe.

Yai Likishakua Tayari Tetea Anataga Baada Ya Hapo Inachukua Dakika 30 Mfumo Kuanza Kutengeneza Yai Jingine.

Kwahiyo Tetea Yoyote Awe Wa Kisasa Au Wa Kienyeji Mda Wa Kutaga Ukifika Haitaji Jogoo Ili Atage Ni Kitendo Cha Asili Yai Kujitengeneza Lenyewe.

SASA SWALI LINAKUJA JE JOGOO ANAKAZI GANI KAMA TETEA ANAWEZA KUTAGA MWENYEWE BILA KUPANDWA NA JOGOO?

Jawabu La Hili Swali Ni Kama Ifuatavyo;
Jogoo Anaitajika Kwasababu Ili Yai Liweze Kutoa Kifaranga Linaitaji Mbegu Za Jogoo Ili Lirutubishwe.

Yaani Tetea Akitaga Yai Bila Kupandwa Na Jogoo Yai Hilo Haliwezi Kutotolesha Kifaranga.

Kwahyo Umuhimu Wa Jogoo Ni Kulifanya Yai liwe Na Mbegu Ambayo Kupitia Hizo Mbegu Yai Linaweza Kutengeneza Kifaranga.

Tunamaliza Kwa Kusema Tetea Anataga Bila Jogoo Ila Jogoo Ni Muhimu Ili Tupate Vifaranga (Uzalishaji Wa Vifaranga).

Hongera Sana, Naamini Sasa Umeshajua.
 
JE WAJUA...???

TETEA ANAWEZA KUTAGA BILA UWEPO WA JOGOO...
Watu Wengi Tumekua Tukiamini Ili Tetea Atage Lazima Awepo Jogoo Wa Kumpanda Ndio Yai Lipatikane...Kama Wewe Ni Miongoni Mwa Watu Wanaoamini Hivyo Bhasi Hili Somo Ni Kwaajili Yako. Kwasababu Unachokiamini Sio Sawa...

Tetea Akifikisha weeks 16-18 Anakua Tayari Ameshaanza Kuonyesha Dalili Za Kuanza Kutaga Kwa Kutoa Mlio Wa Kutetea(Ishara Ya Kuku Kupevuka Kwaajili Ya Kuanza Kutaga)...

Mfumo Wa Utagaji Moja Kwa Moja(Automatically) Uanza Mchakato Wa Kutengeneza Yai Na Inachukua Masaa 24-26 Yai Kujitengeneza Lenyewe...

Yai Likishakua Tayari Tetea Anataga Baada Ya Hapo Inachukua Dakika 30 Mfumo Kuanza Kutengeneza Yai Jingine...

Kwahiyo Tetea Yoyote Awe Wa Kisasa Au Wa Kienyeji Mda Wa Kutaga Ukifika Haitaji Jogoo Ili Atage Ni Kitendo Cha Asili Yai Kujitengeneza Lenyewe...

SASA SWALI LINAKUJA JE JOGOO ANAKAZI GANI KAMA TETEA ANAWEZA KUTAGA MWENYEWE BILA KUPANDWA NA JOGOO...???

Jawabu La Hili Swali Ni Kama Ifuatavyo...
Jogoo Anaitajika Kwasababu Ili Yai Liweze Kutoa Kifaranga Linaitaji Mbegu Za Jogoo Ili Lirutubishwe

Yaani Tetea Akitaga Yai Bila Kupandwa Na Jogoo Yai Hilo Haliwezi Kutotolesha Kifaranga

Kwahyo Umuhimu Wa Jogoo Ni Kulifanya Yai liwe Na Mbegu Ambayo Kupitia Hizo Mbegu Yai Linaweza Kutengeneza Kifaranga

Tunamaliza Kwa Kusema Tetea Anataga Bila Jogoo Ila Jogoo Ni Muhimu Ili Tupate Vifaranga (Uzalishaji Wa Vifaranga)

Hongera Sana Naamini Sasa Umeshajua

Mr Kuku unataka ibia walimu na ma nurse kwa njia ya mayai?
 
Je, wajua tetea anaweza kutaga bila uwepo wa jogoo?

Watu wengi tumekua Tukiamini Ili Tetea Atage Lazima Awepo Jogoo Wa Kumpanda Ndio Yai Lipatikane...Kama Wewe Ni Miongoni Mwa Watu Wanaoamini Hivyo Bhasi Hili Somo Ni Kwaajili Yako. Kwasababu Unachokiamini Sio Sawa.

Tetea Akifikisha weeks 16-18 Anakua Tayari Ameshaanza Kuonyesha Dalili Za Kuanza Kutaga Kwa Kutoa Mlio Wa Kutetea(Ishara Ya Kuku Kupevuka Kwaajili Ya Kuanza Kutaga).

Mfumo Wa Utagaji Moja Kwa Moja(Automatically) Uanza Mchakato Wa Kutengeneza Yai Na Inachukua Masaa 24-26 Yai Kujitengeneza Lenyewe.

Yai Likishakua Tayari Tetea Anataga Baada Ya Hapo Inachukua Dakika 30 Mfumo Kuanza Kutengeneza Yai Jingine.

Kwahiyo Tetea Yoyote Awe Wa Kisasa Au Wa Kienyeji Mda Wa Kutaga Ukifika Haitaji Jogoo Ili Atage Ni Kitendo Cha Asili Yai Kujitengeneza Lenyewe.

SASA SWALI LINAKUJA JE JOGOO ANAKAZI GANI KAMA TETEA ANAWEZA KUTAGA MWENYEWE BILA KUPANDWA NA JOGOO?

Jawabu La Hili Swali Ni Kama Ifuatavyo;
Jogoo Anaitajika Kwasababu Ili Yai Liweze Kutoa Kifaranga Linaitaji Mbegu Za Jogoo Ili Lirutubishwe.

Yaani Tetea Akitaga Yai Bila Kupandwa Na Jogoo Yai Hilo Haliwezi Kutotolesha Kifaranga.

Kwahyo Umuhimu Wa Jogoo Ni Kulifanya Yai liwe Na Mbegu Ambayo Kupitia Hizo Mbegu Yai Linaweza Kutengeneza Kifaranga.

Tunamaliza Kwa Kusema Tetea Anataga Bila Jogoo Ila Jogoo Ni Muhimu Ili Tupate Vifaranga (Uzalishaji Wa Vifaranga).

Hongera Sana, Naamini Sasa Umeshajua.
Sio tetea bali ni ndege wote hata Mbuni, ndege wote mfumo wao wa uzazi ni tofauti na Mamalia, hakuna cha ajabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom