ERTUGRUL BEY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 11,627
- 21,699
- Thread starter
- #101
Dawa imeanza kufanya kazi
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.Mawazo mbadala hayawezi kutokea kwa mdada M.K na Sarungi wanaoishi nje ya nchi na wasiyoijua TZ na utamaduni wake.
Wao nia yao ni kuleta machafuko tu ndani ya TZ.
Mbaya zaidi mnawakodi vijana wa Kenya ambao wao wenyewe wameshindwa kumtoa Rais Ruto japo ya kujipanga vizuri mpaka kuingia bungeni. Eti walioshindwa Kenya ndio waje wafanikiwe TZ, huu ni uchovu wa hali ya juu.
Mmepotea sana, rudi nyuma. Tunataka mabadiliko lakini sio ya kuchoma nchi. Eti watanzania wote.... Hivi walioandamana wanazidi hata Milioni moja? Milioni moja ni aslimia ngapi ya milioni 60. Acheni kujitoa akili na kuwa vichaa wa propaganda. Nina mengi, ila niweke nukta kwa leo. JITAFAKARINI!
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Inaelekea hujui jf ni nini haswa!Mods walifyeka Uzi wangu Wenye heading "member anajejiita Lord denning ni mchochezi,mfininishaji na mchonganishi " ukafutwa sekunde .
Huo Uzi niliweka risiti zake kabla ya October 29 akichochea watu wachome moto Ofisi za CCM na Mali za Umma hakuishia hapo alisisitiza mpka familia za watu wa Sisiemu zivamiwe na kufanyiwa Fujo.
Kwenye uootoshaji nikaweka risiti akitoa madai mazito ya mipango ya kumuu Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi na kuhusisha kifo Cha Jenista Muhanga ni kisa ukatoliki wake , bila ya kuweka ushahidi
Kwenye ufitinishaji niliweka ushahidi wake akichonganisha chuki baina ya Waislamu na Wakristo nchini
Labda Wanaharakat hao walikua wana operate m..kund.uni kwa bibi yako kiasi kwamba sisi wengine hatukuwaona wakifanya hivyoKilichotokea 29/10 kimesababishwa na wanaharakati
Unaakili kiasi,japo wakati mwingine uchawa unakuzidi,naomba tuungane pamoja na tukisema lugha mojaInaelekea hujui jf ni nini haswa!
Mbona hata hata anayehamasisha watu kujihami dhidi ya vyombo vya dola vinavyotumika kukandamiza na kunyi,ma haki za raia naye yuko sawa tu kila mtu anayo haki ya kuunga mkono mkono pande anayotaka wewe unataka wote tuwe na mrengo mmoja wa kuwa uppande wa wadhalimu wanaotumia vibaya vyombo vya dola, haiwezakani kabisa usitupangia pande ya ya kuunga mkono.View attachment 3516525
My people,
Utangulizi:
Kwanza naomba kutoa shukrani zangu za dhati kwa members wote ambao bila kuchoka pamoja na kutukunwa na kurushiwa maneno machafu lakini bado mmesimama imara kupigania kile tunachokiamini nacho ni Tanzania yenye amani
Tuendelee kupigania kile tunachoamini ni sahihi hata kama tukiwa wachache,tujue kwamba siku zote wachache ndio huamsha chachu ya kuleta mabadiliko,
Alright let's get back to the business
Siku zote hapa jukwaani tumekuwa tukipigania uhuru wa kutoa mawazo na maoni yetu,wakati mwingine huenda mbali zaidi Kwa kulaumu mods kufuta nyuzi zetu
Lakini kwa uelewa mbaya sana baadhi yetu wanajua kuongea na kutoa maoni kwa uwazi ni dhidi ya Serikali tu,hawajui kwamba tunapo pigania uhuru wa kutoa mawazo na maoni yetu ni dhidi ya kada yoyote ile maadamu kuna jambo tunataka kuliweka sawa
Masiku kadhaa yaliyopita kuna watu walikuwa wanapush agenda ya kufanya fujo na vurugu,kuna member mmoja bwana Lord,alikuwa anapitia kila uzi na kuhamasisha kutembea na petrol na mapanga kwa ajili ya kupambana na dola
Hatukusikia member hata mmoja akilikemea hili swala,sana sana mlionnyesha kusapoti kwa namna moja au nyingine,leo hii baadhi yetu tunapush agenda ya Amani na kuwalinda vijana dhidi ya watu wenye agenda zao za siri kuhamasisha maandamano haramu, ili wao wapate kuishi hapa town huku vijana wetu wanateketea hali wao wakiwa salama
Wakiuwawa au kudhurika wanawaita wapambanaji,halafu zoezi linaendelea tena kwa kutafuta victims wengine,hii haikubaliki hata kidogo tunapinga kwa nguvu zetu zote
Watu hawa bila aibu wala haya wanalalamika kwa mods kwamba kuna watu wapigwe ban,kwasababu wanafurahia mauaji yaliyotokea 29 October 2025
Wanachojaribu kufanya ni kupotosha ukweli baada ya kuona mashambulizi yamekuwa makali sana dhidi yao kutoka kwa members ambao wamejua mchezo wao mchafu
Siku zote katika hii movement hakuna kauli hata moja iliyotolewa kuonyesha kwamba tumefurahishwa na mauji ya 29 Oct kama mna ushahidi naomba muweke risiti hapa kila mtu aone,na najua hamna kwakuwa hakukuwa na kitu kama hicho na hakutakuwa na kitu kama hicho
Kwahiyo tuache uzushi na upotoshaji, hii movement itaendelea kwa nia njema kabisa ya kuleta awareness kwa vijana ambao ndio hutumika kama chambo au kete ya kufanikisha mipango ya hawa madhalimu ambao wanataka kuichoma nchi yetu,kwa pamoja tutashinda
Mimi na wenzangu tutaendelea kukabia kwa juu sana na kupress very hard kuhakikisha adui anakosa kwa kupumilia ikiwezekana akose pumzi kabisa na kukaa chini
Mapambano bado yanaendelea
Ni hayo tu!
Hoja yako yenye mashiko 100% kwa mtazamo wako. Democracy ni kukubali tofauti zetu. Sina mjadala juu ya mawazo mbadala, na CCM kutolewa madarakani ni moja kati ya ndoto nilizonazo. Lakini sikubali hata siku moja kutumia njia iliyotumiwa 0ktoba 29- Novemba 6.There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??Hoja yako yenye mashiko 100% kwa mtazamo wako. Democracy ni kukubali tofauti zetu. Sina mjadala juu ya mawazo mbadala, na CCM kutolewa madarakani ni moja kati ya ndoto nilizonazo. Lakini sikubali hata siku moja kutumia njia iliyotumiwa 0ktoba 29- Novemba 6.
Kukitumia kikundi hicho na wadau hao pamoja na wafadhili hao tutapata matokeo Hasi, hasi, hasi. Ni bora kuishi na zimwi likujualo kuliko hawa mabwenyenye usiowajua. Eti M.K ndio atuongeze toka marekani, hajawahi kuwa TZ kwa miaka dahli! No, no, no. Hivyo ni bora kuendelea na Rais Samia kuliko kucheza bahati nasibu. Msichezee utulivu wa watu 60 milioni. Ni hatari!!!!!!! TAFAKARINI!
Ni watu 23 elfu, laki moja au 200 mimi sijui. sina chombo kilichokuja na takwimu halisi. Pengine ungetueleza mwenzetu umezipataje hizo namba? Au ndio toka kwa M. K au Madowo! Hawa wote wanatoka nchi moja kwa mfadhili mmoja. Ok.Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
Pia ninajambo nataka kuongezea,haya majira siyo yenu tena,heri tuungane na tuseme lugha moja kuu ambayoNi watu 23 elfu, laki moja au 200 mimi sijui. sina chombo kilichokuja na takwimu halisi. Pengine ungetueleza mwenzetu unezipataje hizo namba? Au ndio toka kwa M. K au Madowo! Hawa wote wanatoka nchi moja kwa mfadhili mmoja. Ok.
Ninachoweza kukueleza ni kimoja tu. Ukipanga kuleta maandamano na kuchoma miundo mbinu anayetumia mlala hoi, usitegemee mazuri yeyote. Sijui nyie mlitegemea nini?
Ndio maana sikubaliani na maandamano ya mtindo huo, yanamadhara zaidi kuliko uponyaji.
Nimeikubali hii,hii ni super come backNdo huyo unamkuta analalamikia VIFO akisahau kuwa yeye kahusika pakubwa kusababisha hivyo vifo
Ndo maana Mimi kwa sasa
I'm half man half mammal.
Hatuwezi Ku -play soft game na hawa watoto wa JF.
Nimeipenda hii, wataelewa tu,tuwape mudaSioendi mtu ambaye kwenye keyboard anahamasisha watu watoke halafu yeye hajatangukiza Familia yake Wala kutoka.
Ndio maana wachochezi wakuu wa maandamano hapa Jf haujasikia wao wala familia Yao kudhurika , sasa unajiuliza hawana watoto kwa nini siku ya maandamano hawakuwaambia watoke front ?
Sativa baada ya kupigwa Shaba kakimbia nchini kuokoa uhai wake , sasa mbona vijana wetu Wanataka watoke wauwawe tena badala ya kilichotokea hamuoni kwamba ni hatari na ni suicidal mission ?
Msifikiri kuwa tunasema msiandamane ni machawa au tunaioenda serikali hapana bali tunajua hicho kitu kina risk kubwa sana kutokana na mazingira yetu na sababu nyingine mbalimbali.
Maoni mazuri sana broSidhani kama tunaweza kuepusha maandamano.
Kinachotakiwa ni kuwaelekeza vijana kwamba wanatakiwa waelewe kwa undani wanachokipigania endapo wakiamua kuandamana.
Au mnaweza kupendekeza namna nyingine ambayo hao mnaowaita 'wachochezi' wanaweza kupata wanachokitaka bila maandamano.
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.Nimeikubali hii,hii ni super come back
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.Maoni mazuri sana bro
uteke,uue watu na kuiba uchaguzi then unaongelea amani bila kurekebisha au kuongelea hayo matatizo ni mambo ya kipuuzi, kiufupi ni kutaka kufunga watu midomo na kuendelea uhuni wenu,hamna akili nyieAmani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana