Chibike
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 4,910
- 7,561
Na wewe hujajibu uliloulizwa, ...Kwaio njia pekee ni kutoka barabarani na kuchoma nyumba za watu, kuchoma magari, kuchoma biashara za watu, kuiba, kutaka kupindua serikali, kuiba ATM machines, kuchoma ofisi za serikali ..na wewe jibu bila mihemko...hujajibu nilichokuuliza