Undumilakuwili wa JF Members

Undumilakuwili wa JF Members

Wewe si ndio umesema unawaokoa sasa unamuokoa mtu kwenye nini na dhidi ya kitu gani?

Mshazoea kumanupulate uhalisia siku zote

Kaka simamia haki na ukweli hapa duniani tunapita tu
Leta hoja, kama mpaka sasa hujajua nazungumia nini basi una shida pahala
 
Analazimisha kusoma kitabu ambacho hakielewi .

Aliyesema muandamane jeshi litawalinda !

Huyu alisiamamia nini ?

Na anayesema OKOA MAISHA YAKO LINDA UHAI WAKO DONT PLAY SOMEONE'S GAME

Don't damage ur country, BAD LEADERS PASS BUT THE COUNTRY REMAINS.

JE KATI YA A NA B nani anasimamia ukweli
 
Asante sana,umenirahisishia kazi
 
Nimewasikia wanaongea jana. Wanasema wanajua kwa nini maandamano ya October 29 yalishindwa.
Ni kwa vile walisahau kuzichoma moto transformer.
Walikumbuka tu kuchoma moto mabasi ya mwendokasi.
Natamani ningekuwa napata muda zaidi wa kuwasikiliza.
Sasa hivi wanasema nini sijui.
Nadhani wanasema Dec. 24 wataenda Kanisani( kama wao ni Wakristu au ni Waislamu) halafu wakitoka huko Kanisani,kazi kazi!.
Binadamu anafanya kazi kwa remote,kama tv.
Kwa maana binadamu anatakiwa kufahamu mwenyewe bila kuambiwa lipi ni sahihi na lipi siyo sahihi.
 
Leta hoja, kama mpaka sasa hujajua nazungumia nini basi una shida pahala
Ukiona hadi sasa hujaona hoja yangu una undumila kuwili that all

Wakati nikiwa form5 mto ulikauka maji yakawa shida na chakula shuleni kikaisha mzabuni anaidai Serikali hadi kasusa kuleta chakula ikawa tabu tu njaa na kiu

Huku headmaster wa Ile shule maneno ya kejeli kama yote wakati alitakiwa ajishushe kupoza machungu kwani shule ilikuwa na matank ya kuhifadhi maji miaka na miaka ila miundo mbinu Ile wameiharibu kwa ubadhilifu wa pesa za shule na wanafunzi tunajua kila siku safari zisizoeleweka kula ruzuku za Serikali tu akirudi maneno ni yaleyale

Akaja kutokea kijana mvuta bangi akalianzisha siku moja jikoni na wapishi wanafunzi wengine wakajoin,,,,,aloooh ilikuwa bonge la mgomo hadi FFU wa mkoa wakaja ni vile wamewahi ila madom yangechomwa kutoka pale mzabuni akalipwa pesa yake msosi ukaja na mvua za msimu zilizofuata matank yakarekebishwa

Moral of story: Ingekuwa ni inshu ya kitaifa Serikali yako ingeua wanafunzi walioanzisha mgomo na wewe ungekuja hapa kusema wamechochea fujo na ungesema kwa kusema hivyo unawaokoa wasife

Acha kujitoa ufahamu ongea ukweli tetea haki duniani tunapita
 
Analazimisha kusoma kitabu ambacho hakielewi .

Aliyesema muandamane jeshi litawalinda !

Huyu alisiamamia nini ?

Na anayesema OKOA MAISHA YAKO LINDA UHAI WAKO DONT PLAY SOMEONE'S GAME

Don't damage ur country, BAD LEADERS PASS BUT THE COUNTRY REMAINS.

JE KATI YA A NA B nani anasimamia ukweli
Kwahiyo mtoa mada anawaokoa watu dhidi ya nini na nani?

Nijibu wewe ulielewa kitabu chake maana yeye kashindwa kujibu
 
Jaribu kusoma nyuzi zinazoendana na uelewa wako mkuu .

Usikilizamishe kichwa cha samaki kubeba ndoo

This is above of ur understanding
 
Ni kweli kabisa,lazima tuipaganie nchi yetu na amani ya Taifa letu

Kila mtu atafute mchochezi wa kuruka nae ,mimi wangu nishampata ni TEC

TEC ni mchochezi anaetumia uwanja wa dini...na sisi wafia dini tunaruka nae kisawa sawa.

Hakuna Rangi ataacha kuona huyu TEC.
 
Jaribu kusoma nyuzi zinazoendana na uelewa wako mkuu .

Usikilizamishe kichwa cha samaki kubeba ndoo

This is above of ur understanding
Ndumila kuwili mwingine

Uzuri wake mnajisema wenyewe sasa wewe wa kunipangia cha kusoma?

Kutetea uwongo ni kazi sana maana hadi utumie bunduki la so hivyo unaumbuka asubuhi tu
 
Nahisi upo sahihi
 
Dawa imeanza kufanya kazi ndio maana wanapata side effects

Tutaendelea kuleta awareness kwa kila mwenye akili ajitambue na sio kufuata kila kinachosemwa bila kutafakari.

Ifike kipindi watanzania mthink big
Naomba nikuulize maswali kadhaa,
1. Watu wanapotekwa, kuteswa, kubakwa hadi kuptea kabisa ila hatusikii viongozi wakuu wa nchi wenye dhamana ya kuwalinda wananchi wakichukua hatua yabkukomesha vitendo hivyo. Je, mwananchi achukue hatua gani ili aweze kupata haki yake ya kuishi huku akiendelea kutunza amani ya nchi?

2. Tume ya uchaguzi ni chombo chemye jukumu la kutenda haki ili amani iweze kutamalaki, je mwananchi achukua hatua gani pale ambapo tume ya uchaguzi inafumbia macho maafisa wake kushiriki moja kwa moja au kuwahusisha watu wasiohukika kwenye suala la uchaguzi kuingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura, kuhesabia kura kuanza kujaza makaratasi ya kura ambazo hazijajazwa na wapiga kura wenyewe? Hizi zote ni hatua za kunyima wananchi haki, pia upelekea uvunjifu wa amani.

3. Mwananchi achukue hatua gani pale ambapo wakala wa chama fulani anakataliwa kuapishwa regardless ya kukidhi vigezo vyote ili aweze kutekeleza majukumu yake ya upatikanaji wa haki nyakati za uchaguzi, tume hawajali, vyombo vya ulinzi na usalama hawajali, mahakama hawajali....je mwananchi aendelee kulifumbia macho huyo mkurugenzi asiyetaka kutekeleza majukumu yake ya kuwaapisha mawakala wa vyama vya siasa kisa hakuna wa kumfanya chochote?

4. Kama mwananchi anatekwa ndani ya nchi yake na serikali haifanyi jitihada ya kumtafuta na kumrejesha, je mTanzania akipotea au akitekwa nje ya nchi, Serikali inaweza kweli kuunda jopo la watu kwenda kumwokoa raia wake kama wafanyavyo nchi zingine?

Maoni yangu, Serikali imekosa sifa ya kuitwa Serikali ya wananchi. Yaani wananchi wanatekwa na vikundi vya watu lakini wakuu vya vyombo vilivyopewa mamlaka wanaendelee na utumishi hewa.
Wewe kama msimamo wako ni kuitetea Amani bila kuwapigia kelele mvunjifu mkuu wa amani ambayo ni serikali, basi utakuwa sehemu ya wavunja amani yetu.
 
Tarajia jibu la kihuni kuwahi kutokea pamoja na maswali yako mazuri yanayoeleweka kwa urahisi kabisa
 
Ngojatuf

Wewe kama msimamo wako ni kuitetea Amani bila kuwapigia kelele mvunjifu mkuu wa amani ambayo ni serikali, basi utakuwa sehemu ya wavunja amani yetu
 
Maswali ya kuweka kama Uzi
 
Back
Top Bottom