Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,377
- 80,236
Wewe ni zoba
Wewe ni zoba
we ndio uweke hizo risiti,Unaweza leta risiti ukazibitisha hapa?
Hawa mazoba hawana akiliwe ndio uweke hizo risiti,
hivi mnalipwa kwa mwezi ama daily?
Ndio wewe huyo😂😂😂Wewe ni zoba View attachment 3516551
Hawa mazoba hawana akili
Suck my fat oneNdio wewe huyo😂😂😂
KabisaView attachment 3516552
kuna Uzi mwembamba sana unaowatenganisha chawa wote na hao wadudu hapo juu.
#trump
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Suck my fat one
View attachment 3516525
My people,
Utangulizi:
Kwanza naomba kutoa shukrani zangu za dhati kwa members wote ambao bila kuchoka pamoja na kutukunwa na kurushiwa maneno machafu lakini bado mmesimama imara kupigania kile tunachokiamini nacho ni Tanzania yenye amani
Tuendelee kupigania kile tunachoamini ni sahihi hata kama tukiwa wachache,tujue kwamba siku zote wachache ndio huamsha chachu ya kuleta mabadiliko,
Alright let's get back to the business
Siku zote hapa jukwaani tumekuwa tukipigania uhuru wa kutoa mawazo na maoni yetu,wakati mwingine huenda mbali zaidi Kwa kulaumu mods kufuta nyuzi zao
Lakini kwa uelewa mbaya sana baadhi yetu wanajua kuongea na kutoa maoni kwa uwazi ni dhidi ya Serikali tu,hawajui kwamba tunapo pigania uhuru wa kutoa mawazo na maoni yetu ni dhidi ya kada yoyote ile maadamu kuna jambo tunataka kuliweka sawa
Masiku kadhaa yaliyopita kuna watu walikuwa wanapush agenda ya kufanya fujo na vurugu,kuna member mmoja bwana Lord,alikuwa anapitia kila uzi na kuhamasisha kutembea na petrol na mapanga kwa ajili ya kupambana na dola
Hatukusikia member hata mmoja akilikemea hili swala,sana sana mlionnyesha kusapoti kwa namna moja au nyingine,leo hii baadhi yetu tunapush agenda ya Amani na kuwalinda vijana dhidi ya watu wenye agenda zao za siri kuhamasisha maandamano haramu, ili wao wapate kuishi hapa town huku vijana wetu wanateketea hali wao wakiwa salama
Wakiuwawa au kudhurika wanawaita wapambanaji,halafu zoezi linaendelea tena kwa kutafuta victims wengine,hii haikubaliki hata kidogo tunapinga kwa nguvu zetu zote
Watu hawa bila aibu wala haya wanalalamika kwa mods kwamba kuna watu wapigwe ban,kwasababu wanafurahia mauaji yaliyotokea 29 October 2025
Wanachojaribu kufanya ni kupotosha ukweli baada ya kuona mashambulizi yamekuwa makali sana dhidi yao kutoka kwa members ambao wamejua mchezo wao mchafu
Siku zote katika hii movement hakuna kauli hata moja iliyotolewa kuonyesha kwamba tumefurahishwa na mauji ya 29 Oct kama mna ushahidi naomba muweke risiti hapa kila mtu aone,na najua hamna kwakuwa hakukuwa na kitu kama hicho na hakutakuwa na kitu kama hicho
Kwahiyo tuache uzushi na upotoshaji, hii movement itaendelea kwa nia njema kabisa ya kuleta awareness kwa vijana ambao ndio hutumika kama chambo au kete ya kufanikisha mipango ya hawa madhalimu ambao wanataka kuichoma nchi yetu,kwa pamoja tutashinda
Mimi na wenzangu tutaendelea kukabia kwa juu sana na kupress very hard kuhakikisha adui anakosa kwa kupumilia ikiwezekana akose pumzi kabisa na kukaa chini
Mapambano bado yanaendelea
Ni hayo tu!
Ukiona mtoto analia Sana ujue kiboko kimemuingia .
Mawazo mbadala hayawezi kutokea kwa mdada M.K na Sarungi wanaoishi nje ya nchi na wasiyoijua TZ na utamaduni wake.............Ila hawataki mawazo mbadala sasa hawa wana utofauti gani hao wanaowalalamikia kuwanyima Uhuru huo .
Movement ya kumkomboa Kijana wa kitanzania lazima iendelee hatuwezi kuruhusu machafuko katika Taifa letu kwa maslahi ya watu wachache.
UKIONA MTOTO ANALIA SANA UJUE KIBOKO KIMEMUINGIA
Bwahaaaa bwahaaa😂😂, same id's!Ukiona mtoto analia Sana ujue kiboko kimemuingia .
Wameanza kuomba msaada kwa MOD na kufungua threads kutuita watu machawa n.k
Wanataka Uhuru wa habari na mawasiliano Ila hawataki mawazo mbadala sasa hawa wana utofauti gani hao wanaowalalamikia kuwanyima Uhuru huo .
Movement ya kumkomboa Kijana wa kitanzania lazima iendelee hatuwezi kuruhusu machafuko katika Taifa letu kwa maslahi ya watu wachache.
UKIONA MTOTO ANALIA SANA UJUE KIBOKO KIMEMUINGIA
Na ni mchicha mwibaMost of them wana IQ below average
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.You know what bro,whether CCM is a political party or not according to you it's non of our business
Here we are pushing for peace and harmony,and we conderm the participation of young men to the so called demonstration ,which at the end of the day no activists who get killed but our young men
We are not affiliated with CCM but our movement is to bring awareness to the youth to stay away from other people's business
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.Unaweza leta risiti ukazibitisha hapa?
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.Unataka kuniua ? 🤣🤣🤣🤣 Unaona Sasa level zako za wajinga tu...🤣🤣🤣 Real People with real money and power don't brag like you fool. 😂😂😂
😂😂 Joined december 2025🙆Mawazo mbadala hayawezi kutokea kwa mdada M.K na Sarungi wanaoishi nje ya nchi na wasiyoijua TZ na utamaduni wake.
Wao nia yao ni kuleta machafuko tu ndani ya TZ.
Mbaya zaidi mnawakodi vijana wa Kenya ambao wao wenyewe wameshindwa kumtoa Rais Ruto japo ya kujipanga vizuri mpaka kuingia bungeni. Eti walioshindwa Kenya ndio waje wafanikiwe TZ, huu ni uchovu wa hali ya juu.
Mmepotea sana, rudi nyuma. Tunataka mabadiliko lakini sio ya kuchoma nchi. Eti watanzania wote.... Hivi walioandamana wanazidi hata Milioni moja? Milioni moja ni aslimia ngapi ya milioni 60. Acheni kujitoa akili na kuwa vichaa wa propaganda. Nina mengi, ila niweke nukta kwa leo. JITAFAKARINI!
Somehow we ta.hi..ra umeongea point, kwa kiasi flan umejitofautisha na huyo m..k..un.du.. mwenzako.Si ndio uhuru wa kujielezea huo ?
Kama unacheki hata movie za kivita kamanda akiona kikosi chake kinazidiwa hakitoboi anatoa retreat order au order ya kusurrender iliniuepusha mauaji ya watu wake wengi.
Sasa unaweza kuwatoa raia kizembe bila plan B na ukijua kabisa destination yao ni kifo na mission haotofanikiwa ?
Kuna wakati mtu unaweza kuishi kwenye manyanyaso ukavumilia kwa kugundua nikishanbulia madhara yake ni makubwa Bora nilinde uhai kwanza na maslahi Fulani huku nikijupanga kisawasawa
Huyo ni Cocastic hana u-braza wowote, ametumika sana mpaka mbupu zake zina hormones za kike.Aisee haiyaaa brother 😀😃😃
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.Si ndio uhuru wa kujielezea huo ?
Kama unacheki hata movie za kivita kamanda akiona kikosi chake kinazidiwa hakitoboi anatoa retreat order au order ya kusurrender iliniuepusha mauaji ya watu wake wengi.
Sasa unaweza kuwatoa raia kizembe bila plan B na ukijua kabisa destination yao ni kifo na mission haotofanikiwa ?
Kuna wakati mtu unaweza kuishi kwenye manyanyaso ukavumilia kwa kugundua nikishanbulia madhara yake ni makubwa Bora nilinde uhai kwanza na maslahi Fulani huku nikijupanga kisawasawa