Undumilakuwili wa JF Members

Undumilakuwili wa JF Members

Kama tulikaa kimya kwanini nyinyi hamkukemea?

Tumekuja na movement tokomeza kuwatumia vijana mnatuita machawa
Nikisema machawa ni viazi sijakosea
kwann hamjaja na movement ya tokomeza utekaji na mauaji ya kabla 29oct
hamjui kiini cha yale maandamano pia ingawa mnajua matokeo yake mkaja kusifia mauji humu nyie ni mapimbi viazi pumpikin heads machawa promax.
 
Na wewe hujajibu uliloulizwa, ...Kwaio njia pekee ni kutoka barabarani na kuchoma nyumba za watu, kuchoma magari, kuchoma biashara za watu, kuiba, kutaka kupindua serikali, kuiba ATM machines, kuchoma ofisi za serikali ..na wewe jibu bila mihemko...
Wakijibu nitag
 
Nikisema machawa ni viazi sijakosea
kwann hamjaja na movement ya tokomeza utekaji na mauaji ya kabla 29oct
hamjui kiini cha yale maandamano pia ingawa mnajua matokeo yake mkaja kusifia mauji humu mapimbi viazi pumpikin heads machawa promax
Usitutoe kwenye mstari,hii ni movement okoa vijana na amani ya nchi hii
 
Nikisema machawa ni viazi sijakosea
kwann hamjaja na movement ya tokomeza utekaji na mauaji ya kabla 29oct
hamjui kiini cha yale maandamano pia ingawa mnajua matokeo yake mkaja kusifia mauji humu nyie ni mapimbi viazi pumpikin heads machawa promax.

Sisi Kama watanzania ambao tumeelimika na wenye ufahamu mzuri .

Tulisikitishwa na yaliyotokea

Kama wasomi tulifanya research na tukajua kiiini cha tatizo .

Kwahiyo sisi hatupo katika Blaming game .

Tunachofanya tumeleta Movement mpya ambayo imeshika kasi inaitwa

"Don't play someone's game

Ikilenga kusambaza awareness na kutoa Elimu ya uraia .

Hii movement kwakuwa inahatarisha maslahi ya wanasiasa na wanaharakati imekuwa mwimba mkali Sana

Mpaka Watu wamepoteana vibaya mno .

Kwakuwa hauwezi kudanganya watu kuwa waandamane jeshi litawalinda na ukijua mazingira ha ya po salama .
 
Habari ya mjini sasa ni don't play someone's game imeisha hiyo
 
View attachment 3516525

My people,​

Utangulizi:

Kwanza naomba kutoa shukrani zangu za dhati kwa members wote ambao bila kuchoka pamoja na kutukunwa na kurushiwa maneno machafu lakini bado mmesimama imara kupigania kile tunachokiamini nacho ni Tanzania yenye amani

Tuendelee kupigania kile tunachoamini ni sahihi hata kama tukiwa wachache,tujue kwamba siku zote wachache ndio huamsha chachu ya kuleta mabadiliko,

Alright let's get back to the business

Siku zote hapa jukwaani tumekuwa tukipigania uhuru wa kutoa mawazo na maoni yetu,wakati mwingine huenda mbali zaidi Kwa kulaumu mods kufuta nyuzi zetu

Lakini kwa uelewa mbaya sana baadhi yetu wanajua kuongea na kutoa maoni kwa uwazi ni dhidi ya Serikali tu,hawajui kwamba tunapo pigania uhuru wa kutoa mawazo na maoni yetu ni dhidi ya kada yoyote ile maadamu kuna jambo tunataka kuliweka sawa

Masiku kadhaa yaliyopita kuna watu walikuwa wanapush agenda ya kufanya fujo na vurugu,kuna member mmoja bwana Lord,alikuwa anapitia kila uzi na kuhamasisha kutembea na petrol na mapanga kwa ajili ya kupambana na dola

Hatukusikia member hata mmoja akilikemea hili swala,sana sana mlionnyesha kusapoti kwa namna moja au nyingine,leo hii baadhi yetu tunapush agenda ya Amani na kuwalinda vijana dhidi ya watu wenye agenda zao za siri kuhamasisha maandamano haramu, ili wao wapate kuishi hapa town huku vijana wetu wanateketea hali wao wakiwa salama

Wakiuwawa au kudhurika wanawaita wapambanaji,halafu zoezi linaendelea tena kwa kutafuta victims wengine,hii haikubaliki hata kidogo tunapinga kwa nguvu zetu zote

Watu hawa bila aibu wala haya wanalalamika kwa mods kwamba kuna watu wapigwe ban,kwasababu wanafurahia mauaji yaliyotokea 29 October 2025

Wanachojaribu kufanya ni kupotosha ukweli baada ya kuona mashambulizi yamekuwa makali sana dhidi yao kutoka kwa members ambao wamejua mchezo wao mchafu

Siku zote katika hii movement hakuna kauli hata moja iliyotolewa kuonyesha kwamba tumefurahishwa na mauji ya 29 Oct kama mna ushahidi naomba muweke risiti hapa kila mtu aone,na najua hamna kwakuwa hakukuwa na kitu kama hicho na hakutakuwa na kitu kama hicho

Kwahiyo tuache uzushi na upotoshaji, hii movement itaendelea kwa nia njema kabisa ya kuleta awareness kwa vijana ambao ndio hutumika kama chambo au kete ya kufanikisha mipango ya hawa madhalimu ambao wanataka kuichoma nchi yetu,kwa pamoja tutashinda

Mimi na wenzangu tutaendelea kukabia kwa juu sana na kupress very hard kuhakikisha adui anakosa kwa kupumilia ikiwezekana akose pumzi kabisa na kukaa chini

Mapambano bado yanaendelea

Ni hayo tu!
Well said
 
Wataalamu wa JF tuisadie serikali na juma aweso tulete mbinu na njia za kuleta maji.dsm.

Hakuna maji dsm mwezi.wa pili huu. Watu.mpaka wamesahau kama wana maji ya bomba. Tuwe wazalendo
 
Ukiona mtoto analia Sana ujue kiboko kimemuingia .

Wameanza kuomba msaada kwa MOD na kufungua threads kutuita watu machawa n.k

Wanataka Uhuru wa habari na mawasiliano Ila hawataki mawazo mbadala sasa hawa wana utofauti gani hao wanaowalalamikia kuwanyima Uhuru huo .

Movement ya kumkomboa Kijana wa kitanzania lazima iendelee hatuwezi kuruhusu machafuko katika Taifa letu kwa maslahi ya watu wachache.

UKIONA MTOTO ANALIA SANA UJUE KIBOKO KIMEMUINGIA
Sijawahi kuona, dunia nzima, kijana hata mmoja aliyefanikiwa kwa vurugu na kuchoma moto mali za umma.
 
Mkuu tupo pamojaa!
Mimi nitaanza mashambulizi kwanziaa winga ya kushoto,wale wote waaribifu wa mali za umma kwa wanakiita maandamano tutakula nao sahani moja hapa Jf.!!
Asante karibu sana chief, kuwa tayar kupopolewa na matusi lakini wadharau ndio uwezo wa kufikiria ulipoishia
 
Mkuu tupo pamojaa!
Mimi nitaanza mashambulizi kwanziaa winga ya kushoto,wale wote waaribifu wa mali za umma kwa wanakiita maandamano tutakula nao sahani moja hapa Jf.!!
Asante karibu sana chief, kuwa tayar kupopolewa na matusi lakini wadharau ndio uwezo wa kufikiria ulipo
Hoja yako yenye mashiko 100% kwa mtazamo wako. Democracy ni kukubali tofauti zetu. Sina mjadala juu ya mawazo mbadala, na CCM kutolewa madarakani ni moja kati ya ndoto nilizonazo. Lakini sikubali hata siku moja kutumia njia iliyotumiwa 0ktoba 29- Novemba 6.
Kukitumia kikundi hicho na wadau hao pamoja na wafadhili hao tutapata matokeo Hasi, hasi, hasi. Ni bora kuishi na zimwi likujualo kuliko hawa mabwenyenye usiowajua. Eti M.K ndio atuongeze toka marekani, hajawahi kuwa TZ kwa miaka dahli! No, no, no. Hivyo ni bora kuendelea na Rais Samia kuliko kucheza bahati nasibu. Msichezee utulivu wa watu 60 milioni. Ni hatari!!!!!!! TAFAKARINI!
fact
 
View attachment 3516525

My people,​

Utangulizi:

Kwanza naomba kutoa shukrani zangu za dhati kwa members wote ambao bila kuchoka pamoja na kutukunwa na kurushiwa maneno machafu lakini bado mmesimama imara kupigania kile tunachokiamini nacho ni Tanzania yenye amani

Tuendelee kupigania kile tunachoamini ni sahihi hata kama tukiwa wachache,tujue kwamba siku zote wachache ndio huamsha chachu ya kuleta mabadiliko,

Alright let's get back to the business

Siku zote hapa jukwaani tumekuwa tukipigania uhuru wa kutoa mawazo na maoni yetu,wakati mwingine huenda mbali zaidi Kwa kulaumu mods kufuta nyuzi zetu

Lakini kwa uelewa mbaya sana baadhi yetu wanajua kuongea na kutoa maoni kwa uwazi ni dhidi ya Serikali tu,hawajui kwamba tunapo pigania uhuru wa kutoa mawazo na maoni yetu ni dhidi ya kada yoyote ile maadamu kuna jambo tunataka kuliweka sawa

Masiku kadhaa yaliyopita kuna watu walikuwa wanapush agenda ya kufanya fujo na vurugu,kuna member mmoja bwana Lord,alikuwa anapitia kila uzi na kuhamasisha kutembea na petrol na mapanga kwa ajili ya kupambana na dola

Hatukusikia member hata mmoja akilikemea hili swala,sana sana mlionnyesha kusapoti kwa namna moja au nyingine,leo hii baadhi yetu tunapush agenda ya Amani na kuwalinda vijana dhidi ya watu wenye agenda zao za siri kuhamasisha maandamano haramu, ili wao wapate kuishi hapa town huku vijana wetu wanateketea hali wao wakiwa salama

Wakiuwawa au kudhurika wanawaita wapambanaji,halafu zoezi linaendelea tena kwa kutafuta victims wengine,hii haikubaliki hata kidogo tunapinga kwa nguvu zetu zote

Watu hawa bila aibu wala haya wanalalamika kwa mods kwamba kuna watu wapigwe ban,kwasababu wanafurahia mauaji yaliyotokea 29 October 2025

Wanachojaribu kufanya ni kupotosha ukweli baada ya kuona mashambulizi yamekuwa makali sana dhidi yao kutoka kwa members ambao wamejua mchezo wao mchafu

Siku zote katika hii movement hakuna kauli hata moja iliyotolewa kuonyesha kwamba tumefurahishwa na mauji ya 29 Oct kama mna ushahidi naomba muweke risiti hapa kila mtu aone,na najua hamna kwakuwa hakukuwa na kitu kama hicho na hakutakuwa na kitu kama hicho

Kwahiyo tuache uzushi na upotoshaji, hii movement itaendelea kwa nia njema kabisa ya kuleta awareness kwa vijana ambao ndio hutumika kama chambo au kete ya kufanikisha mipango ya hawa madhalimu ambao wanataka kuichoma nchi yetu,kwa pamoja tutashinda

Mimi na wenzangu tutaendelea kukabia kwa juu sana na kupress very hard kuhakikisha adui anakosa kwa kupumilia ikiwezekana akose pumzi kabisa na kukaa chini

Mapambano bado yanaendelea

Ni hayo tu!
WAPENDA AMANI WA JF TUKO PAMOJA . HAWA WALETA VURUGU TUTAWAKABIA JUU KWA JUU TU KAMANDA. WANACHEZA MZIKI MNENE NOW WANAOMBA POOO. WAO UHURU NI KUPANGA NJAMA OVU. UKILETA UMOJA WEWE NI CHAWA, UKINENEA MEMA NCHI YAKO WEWE UMELIPWA BUKU 7 . MAJAA WAKO SHALLOW SANA.

MZALENDO KUTOKA KIVUKONI , MAGOGONI.
iamwangdamin
 
Ukiona mtoto analia Sana ujue kiboko kimemuingia .

Wameanza kuomba msaada kwa MOD na kufungua threads kutuita watu machawa n.k

Wanataka Uhuru wa habari na mawasiliano Ila hawataki mawazo mbadala sasa hawa wana utofauti gani hao wanaowalalamikia kuwanyima Uhuru huo .

Movement ya kumkomboa Kijana wa kitanzania lazima iendelee hatuwezi kuruhusu machafuko katika Taifa letu kwa maslahi ya watu wachache.

UKIONA MTOTO ANALIA SANA UJUE KIBOKO KIMEMUINGIA
BAKORA IMEWAINGIA BALAA, TEMBEZA MBOKO HAYA BOY
 
WAPENDA AMANI WA JF TUKO PAMOJA . HAWA WALETA VURUGU TUTAWAKABIA JUU KWA JUU TU KAMANDA. WANACHEZA MZIKI MNENE NOW WANAOMBA POOO. WAO UHURU NI KUPANGA NJAMA OVU. UKILETA UMOJA WEWE NI CHAWA, UKINENEA MEMA NCHI YAKO WEWE UMELIPWA BUKU 7 . MAJAA WAKO SHALLOW SANA.

MZALENDO KUTOKA KIVUKONI , MAGOGONI.
iamwangdamin
Wamekusoma loud and clear

Wataelewa tu
 
Hata kama ni Uhuru wako ila simama kwenye ukweli na haki

Mnapenda kumanupulate mambo kwa kufanya watu ni wajinga wasiotambua lolote duniani shame on you!!!
 
Kwahiyo kuokoa vijana kwa michezo michafu ya wengine sio ukweli?
 
Wewe unadhani dhidi ya nani?

Kama una ishu unataka uiraise basi ongea tafadhali
Wewe si ndio umesema unawaokoa sasa unamuokoa mtu kwenye nini na dhidi ya kitu gani?

Mshazoea kumanupulate uhalisia siku zote

Kaka simamia haki na ukweli hapa duniani tunapita tu
 
Back
Top Bottom