Undumilakuwili wa JF Members

Undumilakuwili wa JF Members

Ninachokukubali kuwa huwa unaandika na kujadili kwa hekima kubwa sana bila mihemko wala matusi
Thanks b
Mods walifyeka Uzi wangu Wenye heading "member anajejiita Lord denning ni mchochezi,mfininishaji na mchonganishi " ukafutwa sekunde .

Huo Uzi niliweka risiti zake kabla ya October 29 akichochea watu wachome moto Ofisi za CCM na Mali za Umma hakuishia hapo alisisitiza mpka familia za watu wa Sisiemu zivamiwe na kufanyiwa Fujo.

Kwenye uootoshaji nikaweka risiti akitoa madai mazito ya mipango ya kumuu Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi na kuhusisha kifo Cha Jenista Muhanga ni kisa ukatoliki wake , bila ya kuweka ushahidi

Kwenye ufitinishaji niliweka ushahidi wake akichonganisha chuki baina ya Waislamu na Wakristo nchini
Huo uzi ulikuwa wa moto sana ndio maana wakaufuta aisee
 
Sioendi mtu ambaye kwenye keyboard anahamasisha watu watoke halafu yeye hajatangukiza Familia yake Wala kutoka.

Ndio maana wachochezi wakuu wa maandamano hapa Jf haujasikia wao wala familia Yao kudhurika , sasa unajiuliza hawana watoto kwa nini siku ya maandamano hawakuwaambia watoke front ?

Sativa baada ya kupigwa Shaba kakimbia nchini kuokoa uhai wake , sasa mbona vijana wetu Wanataka watoke wauwawe tena badala ya kilichotokea hamuoni kwamba ni hatari na ni suicidal mission ?

Msifikiri kuwa tunasema msiandamane ni machawa au tunaioenda serikali hapana bali tunajua hicho kitu kina risk kubwa sana kutokana na mazingira yetu na sababu nyingine mbalimbali.
Unajieleza sana mwanangu 😃
 
Nyie chawa viazi mabogus pumpikin heads mbona raia wasio na hatia walivyouwawa kikatiili
Mlikuwa mnakenua meno humu mkimsifu bi chura na dola yake?

Watoto wetu wafe mlitaka tukae kimya?

Nyie pimbi viazi..
 
Sioendi mtu ambaye kwenye keyboard anahamasisha watu watoke halafu yeye hajatangukiza Familia yake Wala kutoka.

Ndio maana wachochezi wakuu wa maandamano hapa Jf haujasikia wao wala familia Yao kudhurika , sasa unajiuliza hawana watoto kwa nini siku ya maandamano hawakuwaambia watoke front ?

Sativa baada ya kupigwa Shaba kakimbia nchini kuokoa uhai wake , sasa mbona vijana wetu Wanataka watoke wauwawe tena badala ya kilichotokea hamuoni kwamba ni hatari na ni suicidal mission ?

Msifikiri kuwa tunasema msiandamane ni machawa au tunaioenda serikali hapana bali tunajua hicho kitu kina risk kubwa sana kutokana na mazingira yetu na sababu nyingine mbalimbali.
Unamlaumu mtu kwa kutoka kudai haki yake lakini haumlaumu yule aliyetumia nguvu za ziada kumzuia asidai haki yake? Au hastahili kudai haki yake?

Amandla...
 
Sidhani kama tunaweza kuepusha maandamano.

Kinachotakiwa ni kuwaelekeza vijana kwamba wanatakiwa waelewe kwa undani wanachokipigania endapo wakiamua kuandamana.

Au mnaweza kupendekeza namna nyingine ambayo hao mnaowaita 'wachochezi' wanaweza kupata wanachokitaka bila maandamano.
Ukitaka kujua thamaninya uhai anagalia Sativa baada ya kupigwa Shaba alibaki bongo ?

Maandamano yenyewe yapo very disorganized hayaeleweki malengo haswa na mipango yake .
 
View attachment 3516525

My people,​

Utangulizi:

Kwanza naomba kutoa shukrani zangu za dhati kwa members wote ambao bila kuchoka pamoja na kutukunwa na kurushiwa maneno machafu lakini bado mmesimama imara kupigania kile tunachokiamini nacho ni Tanzania yenye amani

Tuendelee kupigania kile tunachoamini ni sahihi hata kama tukiwa wachache,tujue kwamba siku zote wachache ndio huamsha chachu ya kuleta mabadiliko,

Alright let's get back to the business

Siku zote hapa jukwaani tumekuwa tukipigania uhuru wa kutoa mawazo na maoni yetu,wakati mwingine huenda mbali zaidi Kwa kulaumu mods kufuta nyuzi zao

Lakini kwa uelewa mbaya sana baadhi yetu wanajua kuongea na kutoa maoni kwa uwazi ni dhidi ya Serikali tu,hawajui kwamba tunapo pigania uhuru wa kutoa mawazo na maoni yetu ni dhidi ya kada yoyote ile maadamu kuna jambo tunataka kuliweka sawa

Masiku kadhaa yaliyopita kuna watu walikuwa wanapush agenda ya kufanya fujo na vurugu,kuna member mmoja bwana Lord,alikuwa anapitia kila uzi na kuhamasisha kutembea na petrol na mapanga kwa ajili ya kupambana na dola

Hatukusikia member hata mmoja akilikemea hili swala,sana sana mlionnyesha kusapoti kwa namna moja au nyingine,leo hii baadhi yetu tunapush agenda ya Amani na kuwalinda vijana dhidi ya watu wenye agenda zao za siri kuhamasisha maandamano haramu, ili wao wapate kuishi hapa town huku vijana wetu wanateketea hali wao wakiwa salama

Wakiuwawa au kudhurika wanawaita wapambanaji,halafu zoezi linaendelea tena kwa kutafuta victims wengine,hii haikubaliki hata kidogo tunapinga kwa nguvu zetu zote

Watu hawa bila aibu wala haya wanalalamika kwa mods kwamba kuna watu wapigwe ban,kwasababu wanafurahia mauaji yaliyotokea 29 October 2025

Wanachojaribu kufanya ni kupotosha ukweli baada ya kuona mashambulizi yamekuwa makali sana dhidi yao kutoka kwa members ambao wamejua mchezo wao mchafu

Siku zote katika hii movement hakuna kauli hata moja iliyotolewa kuonyesha kwamba tumefurahishwa na mauji ya 29 Oct kama mna ushahidi naomba muweke risiti hapa kila mtu aone,na najua hamna kwakuwa hakukuwa na kitu kama hicho na hakutakuwa na kitu kama hicho

Kwahiyo tuache uzushi na upotoshaji, hii movement itaendelea kwa nia njema kabisa ya kuleta awareness kwa vijana ambao ndio hutumika kama chambo au kete ya kufanikisha mipango ya hawa madhalimu ambao wanataka kuichoma nchi yetu,kwa pamoja tutashinda

Mimi na wenzangu tutaendelea kukabia kwa juu sana na kupress very hard kuhakikisha adui anakosa kwa kupumilia ikiwezekana akose pumzi kabisa na kukaa chini

Mapambano bado yanaendelea

Ni hayo tu!
Pumba tupu.
 
Jukwaa hili limefungiwa na serikali yako ila ulivyo kiazi kutwa kucha upo hapa kuitetea serikali haramu iliyofungia hili jukwaa unalolitumia kuisifu serikali haramu. Sijui tukuitaje?
 
Dawa imeanza kufanya kazi ndio maana wanapata side effects

Tutaendelea kuleta awareness kwa kila mwenye akili ajitambue na sio kufuata kila kinachosemwa bila kutafakari.

Ifike kipindi watanzania methink big
Mkuu unajua maaana ya awareness? Sasa ufahamu unaueneza vipi kwa watu wanaokupinga au kutokukubali ujumbe wako. Hauoni hapo unampigia mbuzi gitaa? Yaani kabisaa hapo ulipo unaamini unashawisi watu na kupata wafuasi wa agenda yako?
 
View attachment 3516525

My people,​

Utangulizi:

Kwanza naomba kutoa shukrani zangu za dhati kwa members wote ambao bila kuchoka pamoja na kutukunwa na kurushiwa maneno machafu lakini bado mmesimama imara kupigania kile tunachokiamini nacho ni Tanzania yenye amani

Tuendelee kupigania kile tunachoamini ni sahihi hata kama tukiwa wachache,tujue kwamba siku zote wachache ndio huamsha chachu ya kuleta mabadiliko,

Alright let's get back to the business

Siku zote hapa jukwaani tumekuwa tukipigania uhuru wa kutoa mawazo na maoni yetu,wakati mwingine huenda mbali zaidi Kwa kulaumu mods kufuta nyuzi zao

Lakini kwa uelewa mbaya sana baadhi yetu wanajua kuongea na kutoa maoni kwa uwazi ni dhidi ya Serikali tu,hawajui kwamba tunapo pigania uhuru wa kutoa mawazo na maoni yetu ni dhidi ya kada yoyote ile maadamu kuna jambo tunataka kuliweka sawa

Masiku kadhaa yaliyopita kuna watu walikuwa wanapush agenda ya kufanya fujo na vurugu,kuna member mmoja bwana Lord,alikuwa anapitia kila uzi na kuhamasisha kutembea na petrol na mapanga kwa ajili ya kupambana na dola

Hatukusikia member hata mmoja akilikemea hili swala,sana sana mlionnyesha kusapoti kwa namna moja au nyingine,leo hii baadhi yetu tunapush agenda ya Amani na kuwalinda vijana dhidi ya watu wenye agenda zao za siri kuhamasisha maandamano haramu, ili wao wapate kuishi hapa town huku vijana wetu wanateketea hali wao wakiwa salama

Wakiuwawa au kudhurika wanawaita wapambanaji,halafu zoezi linaendelea tena kwa kutafuta victims wengine,hii haikubaliki hata kidogo tunapinga kwa nguvu zetu zote

Watu hawa bila aibu wala haya wanalalamika kwa mods kwamba kuna watu wapigwe ban,kwasababu wanafurahia mauaji yaliyotokea 29 October 2025

Wanachojaribu kufanya ni kupotosha ukweli baada ya kuona mashambulizi yamekuwa makali sana dhidi yao kutoka kwa members ambao wamejua mchezo wao mchafu

Siku zote katika hii movement hakuna kauli hata moja iliyotolewa kuonyesha kwamba tumefurahishwa na mauji ya 29 Oct kama mna ushahidi naomba muweke risiti hapa kila mtu aone,na najua hamna kwakuwa hakukuwa na kitu kama hicho na hakutakuwa na kitu kama hicho

Kwahiyo tuache uzushi na upotoshaji, hii movement itaendelea kwa nia njema kabisa ya kuleta awareness kwa vijana ambao ndio hutumika kama chambo au kete ya kufanikisha mipango ya hawa madhalimu ambao wanataka kuichoma nchi yetu,kwa pamoja tutashinda

Mimi na wenzangu tutaendelea kukabia kwa juu sana na kupress very hard kuhakikisha adui anakosa kwa kupumilia ikiwezekana akose pumzi kabisa na kukaa chini

Mapambano bado yanaendelea

Ni hayo tu!
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
Unajieleza sana mwanangu 😃
Si ndio uhuru wa kujielezea huo ?

Kama unacheki hata movie za kivita kamanda akiona kikosi chake kinazidiwa hakitoboi anatoa retreat order au order ya kusurrender iliniuepusha mauaji ya watu wake wengi.

Sasa unaweza kuwatoa raia kizembe bila plan B na ukijua kabisa destination yao ni kifo na mission haotofanikiwa ?

Kuna wakati mtu unaweza kuishi kwenye manyanyaso ukavumilia kwa kugundua nikishanbulia madhara yake ni makubwa Bora nilinde uhai kwanza na maslahi Fulani huku nikijupanga kisawasawa
 
Thanks b

Huo uzi ulikuwa wa moto sana ndio maana wakaufuta aisee
Huo uzi niliambatanisha na full evidence kama ripoti ya uchunguzi wa CNN mods wakatumia mamlaka yao vyema .

Nikashangaa mods kwa wamemlimda na kufuta Uzi ambao una evidence wa maandish yake halafu ukija Uzi wa tetesi mbaya kuhusu serikali zisizo na ushahidi unaachwa uhuru uko wapi ? tena wakati mwingine tuhuma nzito Jf wanaacha tu na hazina ushahidi .....
 
Back
Top Bottom