Undani wa Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa

Kama unajiika kwena msalani nenda kwanza. Eti kimbilio la wanyonge? Mnyonge nani Vincent au sugu, ungesema kimbilio la wabaguzi na wafitini na wauaji wa wangwe ningesema sawa. Hawa mimi Nina Ushahidi Ndio walimwua chacha wangwe. Pole.

Hawa wana cuf wana matatizo humu ndani wanashindwa hata kuitangaza cafu kazi yao ni porojo tu
 
Kama unajiika kwena msalani nenda kwanza. Eti kimbilio la wanyonge? Mnyonge nani Vincent au sugu, ungesema kimbilio la wabaguzi na wafitini na wauaji wa wangwe ningesema sawa. Hawa mimi Nina Ushahidi Ndio walimwua chacha wangwe. Pole.

Weka hapa kafiri mkubwa wa cuf nenda kaswali m.s.e.n.g.e w e e
 
mr that isnt politics,one has to stay 4 another yo be efficient,dont put the almighty under tthe stupidy,stinking,smelling and rotting things of this.
 
Kwa kweli umenena ukweli mtupu! Changamoto kubwa iliyobaki ni kuaongeza nguvu na kasi ya CHADEMA vijijini na hatimaye 2015 kazi ni moja tu, kuchukua nchi!

haaaa haaaaaa kufanyaje?duuu kweli watu wana ndoto jamani loooo nchi haichukuliwi jamii forum bw mdogo kwakwa kwaaaaa kwaaaaaaa
 
wewe naona una uwezo mzuri wa kutazama na kupambanua jambo kuliko hawa jamaa wanaotishiana kuua hadi panya! Hongera
 
Suala la Udini na Ukaskazini wamelishughulikia vipi?
Tukumbuke kabla ya hawa watu hawajaingia madarakani, siasa za Tanzania hazikuwa na chembe ya udini, hata kama hii dhana ilikuwepo, ilikuwa kwa kiwango cha chini sana.

wimbo usio na tune, we kila siku unaimba ukabila na udini. wenzako wanaimba na kutukuza tanzania, tanzania... we kazi kuimba Na kutukuza maifisadi!
 
nyingine ni kurudisha gari la serikali kwa mbwembwe na waandishi wa habari na kulichukua tena kimya kimya

Ni hakika kuwa ndani ya Chadema kuna watu wanaohangaika usiku na mchana aidha kwa kutumiwa au kwa maslahi yao binafsi kuhakikisha Chadema inasambaratika! Ni hivi Chadema ni sauti ya wanyonge wengi na sauti za wanyonge wengi ni sauti ya Mungu. Wale wote wanaojisumbua kutaka kukisambaratisha Chadema watasambaratika wao wenyewe. Ukumbukeni mwisho wa msaliti wa Yesu Kristo,huyu ni Yuda Iskariote.! Ni heri chama kibaki na watu wachache wanaohangaikia maslahi ya wananchi na kufuata katiba, kanuni, taratibu na miongozo ya chademak uliko kuwa na umati wa masalia, wasaliti, mamluki na waleta chokochoko wanaohangaikia matumbo yao!
 
Hakuna kipengele kwenye katiba ya CDM kinachosema urais utagombewa na mwenyekiti, sioni kwanini uandike eti Mbowe anastahili credit kwa kumwachia Dr Slaa kugombea urais. Hiki ni chama cha kidemokrasia, hivyo mwaka 2015 mwanachama yeyote anayejiona anazo sifa za kuongoza nchi hii, ruksa kuchukua fomu. Hatutaki yaanze kujengwa mazingira ambapo mwanachama tofauti na hawa tuliowazoea akichukua fomu ataonekana msaliti au mamluki. Tuache demokrasia iamue nani atatufaa.
Demokrasia hata kama tunawapa wale ambao tuna uhakika kuwa huuza majimbo eti ili dili iwe kubwa zaidi eeh!
 
Ni dhahiri ccm wanahaha kutenganisha combination makini ya CHADEMA, ni wakati wa CHADEMA kujipima wanamfaidisha nani kunapotokea migogoro ndani ya chama.
 
Ni dhahiri ccm wanahaha kutenganisha combination makini ya CHADEMA, ni wakati wa CHADEMA kujipima wanamfaidisha nani kunapotokea migogoro ndani ya chama.

Hawatafanikiwa kuwatenganisha majemadari hawa.
 
Slaa na Mbowe ni manyang'au.
wameshirikiana kufuta kipengele cha ukomo wa uongozi ili watawale milele.

Hesabu za pesa ya ruzuku wanajua hawa wawili.
Posho na mishahara Yao haipimiki na hakuna wa kuhoji.

Unadhani kwanini wasiwe mapacha?
Huku mtaani Kuna gumzo, ukionekana Tapeli unaambiwa acha utapeli Wako kama chadema.
 
Mbona ujasema lini hawa jamaa watakabizi vijiti kwa wenzao wao tuuu.......................!:tape:
 
Asante sana Mkuu Molemo kwa maelezo mazuri. Swali Hivi kumbe wewe cyo mwanachama wa CDM?
 
Back
Top Bottom