Undani wa Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa

Undani wa Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa

Mkuu fmpiganaji, huu uchambuzi ni mnene, hongera sana, this is a real GREAT THINKER.
 
mbowe ni shujaa kwa sababu amefanikiwa kutumia ujinga wa watanzania na umaskini wao kwa maslahi yake binafsi kama kuwaandamanisha watanzania na kuwapiga picha na mwisho wasiku huenda kulamba pesa kwa wahisani wa nje na ndani ya nchi

Duh! Wewe ni kiboko. Thread nzima wewe ndo kinara. Kwani unafikriwenginbhwana michango? Tafkari, chukua hatua.
 
Kamanda Mbowe na Dr.wa ukweli ni majembe ya ukweli.Naunga mkono hoja wa wao kuendelea kuongoza chama pasipo kuwabadilisha katika nafasi zao ikibidi hata kwa kuwaomba ikiwa watajisikia kuchoka.Hawa jamaa ni moto wa kuotea mbali.Nashindwa kuelewa jinsi magamba watakavyofanya 2015.Damu ya qristo iwafunike makamanda wangu.:israel:
 
Sioni cha kujadili kwenye hili kwani umeweka wazi Kila kitu Nadhani usingesema tujadili Bali ungesema tuwapongeze wakuu hao kwa kukugongea like nyingi kwa uchambuzi yakinifu ulioufanya au darasa ulilotoa. Asante Aluta continue
 
kadi ziko kilimanjaro na arusha kwani wewe unatoka mkoa gani?
Wee masaburi, hivi Mwanza, Mbeya, Kigoma, Shinyanga, Simiyu, Geita, Mtwara, Singida kwa Mchumi Daraja la 6, Katavi, Kagera na kwingineko ambako si tu CDM wana wanachama lukuki bali pia kuna wabunge wa Bunge la JMT wanatokea huko bado nako ni Kaskazini kama unavyotaka kutuamnisha hapa? Anyway, labda umevimbiwa futari hivyo siyo kosa lako!
 
​poleni ccm chadema mbunge mmoja ni baraz lote la mwaziri kwi,kwi,kwi kalale huna jipaya
Dr Barubaru,
Hakuna wa kukujibu ilo swali hata huyu muanzisha hii thread ambae anasema Mbowe na Slaa, wameleta demokrasia ndani ya Chadema hawezi kujibu.

Jibu lao kubwa wanakuambia angalia namba ukiwauliza mmetumia njia gani kupata hizo namba hawasemi.

Ukiangalia hiyo orodha ya wanawake 40 wanawake 15 ni wenyeji wa mkoa wa Kilimanjaro.

Namba kwa ndio kigezo kikuu cha demokrasia.
 
pia lazima wajivunie kuwaajili wakaskazini pale makao makuu mpaka madereva na kuwahadaa watanzania wengine.

Kila kukicha ww ni ukanda2,magamba fikra zenu ni za mwaka47.CDM haitodhoofishwa kwa hoja uchwara.Kiongozi bora atatoka ccm hatabaki ccm.Kiongozi bora atatokana na CDM.
 
Kwa ujuaji wangu kuhusiana na watu hawa wawili kwenye Thready hii inayowahusu Muheshimiwa Mbowe na Dr. Slaa ni kua watu hawa wanashabihiana sana hembu cheki hapa:
  1. Mbowe na Dr. Slaa ni wacha Mungu.
  2. Wanawajali na kuwastahi watu.
  3. Wanapenda haki na kuwajali wanyonge.
  4. Wanaijua na kuitetea katiba ya nchi na sheria ambayo wanataka ifanyiwe marekebisho kwa maslahi ya Watanzania wote.
  5. Ni wakweli wa maneno na vitendo.
  6. Wanashirikiana na Watanzania wote bila ubaguzi.
  7. Wanauwezo wakuongoza kwa upeo na upana.
  8. Wanapenda amani na utulivu.
  9. Ni waadilifu na wachapa kazi.
  10. Wanalipenda taifa lao.

Wakati mwingine mnapompa mtu sifa ambayo hana hata chembe,na hasa sifa ya UchaMungu! Unazijua sifa na dalili za wachaMungu au unasema tu ilimradi umesema. Slaa kuzini na kuzaa nje ya ndoa ndio ucha Mungu kwa upande wako?

Mbowe ana uchaMungu gani,au kutumia fedha zake kuhadaa vijana waganga njaa waandamane na kufanya vurugu na kuwadanganya watapata maisha bora bila kufanya kazi? Isitoshe huu utajiri wa Mbowe mnaobabaika nao umejaa utata mtupu,hela zilizotokana na udhalimu na wa baba yake ndio mnaita utajiri!!

Vipi hoja ya kudai marekebisho ya katiba mpya imekuwaje tena ya Slaa na Mbowe? Hakuna viongozi wengine wa Siasa waliodai marekebisho ya katiba mpya zaidi ya slaa na mbowe!!!! Au kwa kuwa mme-lobby media ndio maana unadhani hiyo yatosha kutudanganya?

Hii amani wanayoipenda slaa na mbowe ni amani ipi,au kuchochea vurugu zilizopelekea vifo vya watu wasio na hatia kule Arusha? Unadhani kama Chadema wako nje ya dola wana nguvu ya kufanya umafia kiasi hichi(kama mauaji ya Singida,kifo cha Chacha Wangwe),siku wakishika dola watakuwaje!

Acheni kutuchezea akili zetu tafadhali sana. Tafuta sifa nyingine za kuwapa na sio hizi ulizoeleza hapa,na hasa hiyo ya uchaMungu ndio umenipa kichefuchefu kabisa.
 
Wakati mwingine mnatutia kichefuchefu mnapompa mtu sifa ambayo hana hata chembe,na hasa sifa ya UchaMungu! Unazijua sifa na dalili za wachaMungu au unasema tu ilimradi umesema. Slaa kuzini na kuzaa nje ya ndoa ndio ucha Mungu kwa upande wako?
Mbowe ana uchaMungu gani,au kutumia fedha zake kuhadaa vijana waganga njaa waandamane na kufanya vurugu na kuwadanganya watapata maisha bora bila kufanya kazi? Isitoshe huu utajiri wa Mbowe mnaobabaika nao umejaa utata mtupu,hela zilizotokana na udhalimu na wa baba yake ndio mnaita utajiri!!.....

Kuwa Magamba ni janga la kitaifa.
 
Mbona sioni utafiti uliozungumzia bali wasifu na kupiga debe
 
Mbona sioni utafiti uliozungumzia bali wasifu na kupiga debe

Hajawapigia debe mkuu,ametoa utafiti muafaka kabisa.Wewe eleza tofauti na alivyosema kama una hoja tukuunge mkono
 
Wakati mwingine mnapompa mtu sifa ambayo hana hata chembe,na hasa sifa ya UchaMungu! Unazijua sifa na dalili za wachaMungu au unasema tu ilimradi umesema. Slaa kuzini na kuzaa nje ya ndoa ndio ucha Mungu kwa upande wako?

Mbowe ana uchaMungu gani,au kutumia fedha zake kuhadaa vijana waganga njaa waandamane na kufanya vurugu na kuwadanganya watapata maisha bora bila kufanya kazi? Isitoshe huu utajiri wa Mbowe mnaobabaika nao umejaa utata mtupu,hela zilizotokana na udhalimu na wa baba yake ndio mnaita utajiri!!

Vipi hoja ya kudai marekebisho ya katiba mpya imekuwaje tena ya Slaa na Mbowe? Hakuna viongozi wengine wa Siasa waliodai marekebisho ya katiba mpya zaidi ya slaa na mbowe!!!! Au kwa kuwa mme-lobby media ndio maana unadhani hiyo yatosha kutudanganya?

Hii amani wanayoipenda slaa na mbowe ni amani ipi,au kuchochea vurugu zilizopelekea vifo vya watu wasio na hatia kule Arusha? Unadhani kama Chadema wako nje ya dola wana nguvu ya kufanya umafia kiasi hichi(kama mauaji ya Singida,kifo cha Chacha Wangwe),siku wakishika dola watakuwaje!

Acheni kutuchezea akili zetu tafadhali sana. Tafuta sifa nyingine za kuwapa na sio hizi ulizoeleza hapa,na hasa hiyo ya uchaMungu ndio umenipa kichefuchefu kabisa.

Wewe ni gamba kweli na si gamba tu bali fisadi, manake unajaribu kudanganya uma wa watanzania kwa kusema uongo uliotukuka kwa mawazo finyu eti utaweza kutubadilisha sisi vijana na watanzania wote tunaotaka MABADILIKO.
 
Back
Top Bottom