Unazikabili vipi changamoto za choo cha kukaa?

Unazikabili vipi changamoto za choo cha kukaa?

aiseeee mimi huwa navipnda sana hvyo vyoo ..vile vingine huwa naviona kama vyanipa shida naurefu wote huu mpka kuchuchumaa daaah tabu mnooo ..halafu usiwe na tabia yakupnda juu ya hvyo vyoo mkuu huwa vina tabia ya kupasuka IPO siku utpata ajali ukatwe makalio mpka tigo Pesa yote
 
Hakuna vyoo nsivyovipenda kama hivyo, kwnza huwa nakosa 'confortability'
Sivipendi balaa, kwanza ukikaa maana yake haujisaidii vizuri maana miguu haijafunguka vizuri mzigo utoke, mzigo unakugusa gusa, yaak! mi nikikutaga hivyo vyoo sipotezi muda nakanyaga kwenye kingo na pia naweka toileti pepa za kutosha ndani ili maji yasinirukie kisha nachuchumaa. Ila inasemekana kilivunjika wakati umekikanyaga kinaweza kukukata vibaya miguu, ila Sipendagi ujinga. Nyumba nazoishi pia aina ya choo huwa ni kipaumbele, vya kukaa huwa naachana na nyumba.
 
Unakutana na vyoo vichafu ndiyo maana...

Alafu kukanyaga juu ya choo, ipo siku utakipasua kama mua vile, kitakukata na kukupasua kabisa...


Cc: mahondaw
 
Unapokaa vyoo vya kukaa usikae kama kwenye kiti lazima iwe kama umeegemeza mikono kwenye miguu yaani umeinama kidogo,cheki youtube njia sahihi za kutumia choo cha kukaa kuna videos.
Ukiwa na kitambi vyoo vya shimo utavikataa kabisaa utataka cha kukaa haaa haaa
 
uzur wa kukata gogo ni kuchutama huku ukichorachora chini
 
Mi choo cha kuchuxhumaa hakipandi kabisa mara nyingi huwa nakuwa na haraka simalizi kujisaidia. Ila cha kikaa hata dk 20 sawa tu
 
Back
Top Bottom