King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,984
Hehehe, akija huku anatambaa hakikisha unawahi kushikilia kwenye mpini ili yeye ashikilie makali. Atakuwa mdogo kama kanyeshewa, sura fupii kama piriton,lol! Mahandisamu kazi, muulize SL why anampenda Kloro!
ha ha ha, nipe pole
am morning now
ndo kamaliza kuniga chini now eti sababu ya mara jinsia mara watu wanataka amrudie yule wa zamani eti mie sijakwolify kuwa naye
jamani!!!
Ila baada ya hiki kipindi ambacho mwali anakishughulikia atakuja kuomba msamaha anatambaa
na ndo ntakapodai vekesheni na mie.