Unazijua couples zilizomo humu JF.?

Jamani hata mimi mwenye siredi ni mekosa kapo hebu jitokezeni kati ya hawa Ashadii,mama tuli,lizzy,sweetlady na wengine am so handsome trust!
 
Jamani hata mimi mwenye siredi ni mekosa kapo hebu jitokezeni kati ya hawa Ashadii,mama tuli,lizzy,sweetlady na wengine am so handsome trust!



Wee Mmasi acha MANIPULATION! Nilisha kutajia kapo za nguvu kama 10.... Haya sema utafiti umeishia wapi then mengine tutalonga zaidi.....lol
 
Alikosa donor wa ku-fund utafiti wake


Mie nime propose akileta za kuleta JF Super Lawyer a'do the needful... Umeona lakini kamtaja Lizzy hapo? Alafu kama ni donor si angekuja tu Ofsini kwetu pale mpunga upo wakutosha!
 
El Toro na Fe Lady mtatutaka....

African-Couple-Tree-1611079.jpg

2tawataka kiaje
 
Sasa ningemjibu nini wakati hali halisi alikuwa anaiona mwenyewe, mtu unamwona ananywea chai juu ya bati afu unamwuliza anaelendeaje?!! Kilichonikera zaidi ni lile tabasam lake bana, mafuriko na tabasam wapi na wapi?
Acha tu, lile linaitwa tabasamu la kidwanzi, yaani mtu anatabasamu bila kuwa na feeling yoyote. Ni sawa unasalimia watu msibani halafu unatoa tabasamu pana, huku ukiuliza kama utapata kilimanjaro baridi? Ukisisitiza ziwe baridi sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom