Unazijua couples zilizomo humu JF.?

Unazijua couples zilizomo humu JF.?

Mi napenda kucheka deskmate... tena mida hii, weekiendi. we elewa tu. lol
Nimeelewa deskmate! alokupa furaha na akakupa fursa ya kuweza kucheka na ukaepuka kilio ndio apongezwe zaidi nadhani lol
 
Khaaa, sasa itakuaje wakati mamkwe wako keshanambia jumapili nimsindikize tuje kwenu? Basi swahiba mie ntakuja nimevaa hijab na nikabu kabisa ili tusitizamane na shemeji uporoto... Sawa eeh?

hehehehe! Ole wako hiyo hijabu na nikabu ikupendeze. Lol.
 
Back
Top Bottom