sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Afu mkemwenza ukinionea bht mwambie mwenzie bado nipo hapa stand namsubiri, tutafika mgombani kiza kimetanda ati....raha ya mbege kuinywea kwenye mwanga bana.. Wifi yetu kaja na list mpya, umeiona?NN bila pingu za mwili mzima atamuweza nani! Anarusha mateke utadhani katoto ka kichina!
Wifi anajiandaa na vekesheni sweetie wake kampeleka spa leo, full ma-scrub ya sea salt. Mgombani wewe tu na bht!