Unazijua couples zilizomo humu JF.?

Unazijua couples zilizomo humu JF.?

hahaha... Mwachie mama bana amshughulikie baba...

BTW naona simu zimekazana hapa Mupenzi aniiita.

Na log - off: Sorce (Washawasha)

@Klorokwini huyu jamaa mwenye thread hii asipoleta feedbak mie napendekeza tum-sue! Maana kama ni data kapewa za kutosha!
Afu wifi Mwali anampikia baba nanihii, sio baba mzazi...uwe unasoma na vidot dot.
 
hizo dots baada ya neno "baba" unamaanisha post yako haijamaliza au? just curious
nime weka tu. nadhani ni namna yangu ya kuandika. asante deskmate kwa kunikosoa.

hahaha... Mwachie mama bana amshughulikie baba...
BTW naona simu zimekazana hapa Mupenzi aniiita.
Na log - off: Sorce (Washawasha)
@Klorokwini huyu jamaa mwenye thread hii asipoleta feedbak mie napendekeza tum-sue! Maana kama ni data kapewa za kutosha!
Kweli kabisa, ngoja nimwambie mama kua anti kasema afanye vyake mwenyewe...

Ziepue uchangie mada kwanza...
Haswaaaa. inaitwa Priority management. lol
 
Honey nothn gonna change ma love for you.... (Source: my heart.)..

Afu lahazizi aka asali wa moyo jana ulinikataza nisimchekee Fidel80, sasa mbona wewe umekazana kumchekea Mwali?....nikianza kumchekea innovator tusilaumiane..

mmmh! honey, kazi yangu inabidi niwe charming na clients, ni sehemu ya kuitangaza biashara lakini wewe na fidel, mtu kakwama kwenye paa hajui atashuka lini sasa unamchekea chekea akusaidie nini?
 
Mweh! Nimestuka manake u-cameroon tena! Asante kwa maelezo kaka shemeji
Anamaanisha malaria sugu ni mwanamke. Na yep watu wengi wanaconfyuzi lakini nishawahi kuona sehem malaria sugu anasema yeye ni mdada lakini nazani watu wanamhukumu kwa jina lake limekaa kisela sela
 
Kwani ww mwanaume siku hizi?
Shkamoo bi mkubwa!
Hehehe, shika mwenyewe kama ni mali kajenge kwenu...lol.

Malaria sugu ni mdada shostito kama ulikuwa wammezea mate kwa jinsi anavyomwaga yale mapoint yake humu andika maumivu tena ukome usituletee mambo ya Marytina kwenye ukoo wetu.
 
Anamaanisha malaria sugu ni mwanamke. Na yep watu wengi wanaconfyuzi lakini nishawahi kuona sehem malaria sugu anasema yeye ni mdada lakini nazani watu wanamhukumu kwa jina lake limekaa kisela sela

Nani anabisha maralia sugu sio mwanamke?
 
mmmh! honey, kazi yangu inabidi niwe charming na clients, ni sehemu ya kuitangaza biashara lakini wewe na fidel, mtu kakwama kwenye paa hajui atashuka lini sasa unamchekea chekea akusaidie nini?

Mpwa nimesha shuka mbona nasikitika kutangaza kifo cha rafiki yangu aliye dondokewa na ukuta wa choo.
 
Back
Top Bottom