Unazijua couples zilizomo humu JF.?

Unazijua couples zilizomo humu JF.?

swahili yangu sio musuri sana couples swahili yake nini? saidia ndugu
 
Couples ni zile za wapenzi tu au tunaweza kutaja mtu na deskmate wake etc?
 
Couples ni zile za wapenzi tu au tunaweza kutaja mtu na deskmate wake etc?
Suala zuri, tumsubirie Mmasi afafanue, si ndio maana nimeuliza maana ya couples kwa kiswahili lakini amenichimba bonge la mkwala ikabidi niombe razi
 
Suala zuri, tumsubirie Mmasi afafanue, si ndio maana nimeuliza maana ya couples kwa kiswahili lakini amenichimba bonge la mkwala ikabidi niombe razi
Kumbe? maana mi nina hamu kweli ya kumtaja dada fulani na deskmate wake! wanapendeza...
 
Asprin na Gaga ila kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa zinasema kuwa Asprin kaachika, King'asti na MTM, Mwali na Fidel80, Bishanga na Eliza wa tegeta, Afrodenz na Saint Ivuga, PakaJimmy na tetea tete, Preta na Bigirita, bht na Nyani Ngabu, Gaijin na Rejao, Mj1 na mbu, Sweetlady na klorokwini, Ashadii na Kaizer, Husninyo na uporoto01, The Finest na Lizzy, Kongosho na The Boss, Kabakabana na Excellent.

Preta na Bigirita mbona hawa ni KE wote
 
Third person style eeh? I know them and yep they do, hard to deny that lol
Ahhhh, what a romantic moment... 🙂 :A S-heart-2:
Ngoja utaona sasa hivi wanakuja wanga waanze kuuliza maswali, and break the charm of the moment!
 
Ahhhh, what a romantic moment... 🙂 :A S-heart-2:
Ngoja utaona sasa hivi wanakuja wanga waanze kuuliza maswali, and break the charm of the moment!
romantic moment in a right thread. Let it rain
 
Back
Top Bottom