Unazijua couples zilizomo humu JF.?

Muache atie msisitizo wasije watoto wa mjini wakamuwahi banaa! Afu wewe unanitaja na shemeji yangu wakati unajua kabisa mie natoka na PAW? Mkemwenza mgomvi wewe, ungekuwa wifi yangu ungeshaniondoa kwa mdundiko wa kwa mtogole!
Utasutwa, kwani mie si nimeshaitaja hiyo kapo?
 
Muache atie msisitizo wasije watoto wa mjini wakamuwahi banaa! Afu wewe unanitaja na shemeji yangu wakati unajua kabisa mie natoka na PAW? Mkemwenza mgomvi wewe, ungekuwa wifi yangu ungeshaniondoa kwa mdundiko wa kwa mtogole!
Lol, mke mwenza acha kuntengua mbavu jamani khaaa, hivi kumbe PAW ndio kakake ashadii? Ungekuwa wifi angu ningekupendaje manake tungekuwa tunaenda wote vekesheni kaka tunamwacha nyumbani.. Huyu mkweo anajishaua na huyo uporoto wake kwani nani hajui kuwa ni mrs uporoto?
 
Lol! Leo nimetoboa siri, hujawakuta AshaDii na Paw wanasifiana, NN akirusha mateke saa hiyo ana pingu mikononi, miguuni na kiunoni! Hiyo scene huwa naipendaga! na huoni siku hizi mumeo Kloro hapigwi pingu na shemeji yake? Afadhali ww mke mwenza manake tungeachika,kha!
Muache Husn ajidai banaa, hata ww ungekuwa mrs uporoto najua bichwa lingekupasuka! Lol

Hehehe, swahiba huo ulikuwa mpasho kwa mamkwe bana wewe wala huhusiki, na umeanza lini tabia ya kusoma siri za mamkwe wako?...

mi nafatilia tu nyendo zako swahiba na sahv kuja kwangu mpaka uporoto awe hayupo maana nishaona dalili za kuibiwa.
 
Lol! Leo nimetoboa siri, hujawakuta AshaDii na Paw wanasifiana, NN akirusha mateke saa hiyo ana pingu mikononi, miguuni na kiunoni! Hiyo scene huwa naipendaga! na huoni siku hizi mumeo Kloro hapigwi pingu na shemeji yake? Afadhali ww mke mwenza manake tungeachika,kha!
Muache Husn ajidai banaa, hata ww ungekuwa mrs uporoto najua bichwa lingekupasuka! Lol
Uwi mbavu zangu!!! Pingu mpaka kiunoni??? Kweli mumeo PAW ni noma, ila nashukuru vile hampigi bani honey wangu kloro manake pangechimbika bila jembe humu jf, si unajua kloro ni lawyer....afu wifi yetu kapotelea wapi?
 
Mkwe taratibu, hana meno huyu usimuogope. Mapenzi yamekuwa magumu watu wana wasiwasi hadi na aunt zao,lol!
mi nafatilia tu nyendo zako swahiba na sahv kuja kwangu mpaka uporoto awe hayupo maana nishaona dalili za kuibiwa.
 
mi nafatilia tu nyendo zako swahiba na sahv kuja kwangu mpaka uporoto awe hayupo maana nishaona dalili za kuibiwa.
Khaaa, sasa itakuaje wakati mamkwe wako keshanambia jumapili nimsindikize tuje kwenu? Basi swahiba mie ntakuja nimevaa hijab na nikabu kabisa ili tusitizamane na shemeji uporoto... Sawa eeh?
 
Nyie wifi zangu wapenzi hapo juu what are you doing? Alafu hivi nimewaambia nimewamiss? Na tafadhali yeyote yule aliemuona Sweetie naomba mumuambie namtafuta... Maana nahisi naibiwa ati! lol
 
NN bila pingu za mwili mzima atamuweza nani! Anarusha mateke utadhani katoto ka kichina!
Wifi anajiandaa na vekesheni sweetie wake kampeleka spa leo, full ma-scrub ya sea salt. Mgombani wewe tu na bht!
Uwi mbavu zangu!!! Pingu mpaka kiunoni??? Kweli mumeo PAW ni noma, ila nashukuru vile hampigi bani honey wangu kloro manake pangechimbika bila jembe humu jf, si unajua kloro ni lawyer....afu wifi yetu kapotelea wapi?
 
Mkwe taratibu, hana meno huyu usimuogope. Mapenzi yamekuwa magumu watu wana wasiwasi hadi na aunt zao,lol!
Lol, afazali wantetea mke mwenza, mie nshajishonea gauni la kutokea jpili afu anataka kunzibia..au hajafundwa huyu mkweo eeh?
 
Couples za JF.

  1. Bishanga na Eliza wa Tegeta.
  2. King'asti na Paw
  3. Husiny na Uporoto
  4. The Finest na either (Lizzy, AfroD, Sweet lady, Smiles etc)
  5. Eltoto na Fe Lady
  6. The Boss na Kongosho
  7. Paka Jimmy na Anonymous
  8. ODM na wajukuu woote.
  9. Mbu na Mwanajamii one.
  10. Klorokwini na Karen_Happuch (hii inatakiwa ODM asijue)
  11. Smiles na Rejao.

Ukinipa mpaka hapo utafiti umeeishia wapi nitakuongeza na couple zingene kibao!
 
Nyie wifi zangu wapenzi hapo juu what are you doing? Alafu hivi nimewaambia nimewamiss? Na tafadhali yeyote yule aliemuona Sweetie naomba mumuambie namtafuta... Maana nahisi naibiwa ati! lol
Wifi nafurahi kukuona hapa, Kaka kaizer aliaga anaenda kumnunulia King viatu manake vile alivomletea jana vimekuwa vikubwa, tumempa husninyo....
 
Dah! My sweet wifi.... Asante kwa taarifa... Nimemtafuta mpaka kichwa chauma....lol... Kapita mahala hapa? ama mmeongea kwa simu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom