sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Daaah, nimekusahau. Dena Amsi na Mr. Rocky.PJ Kashatoa jibu
Hiyo ya PJ imeshaeksipaya..manake new kamaz ni wengi humu.
Daaah, nimekusahau. Dena Amsi na Mr. Rocky.PJ Kashatoa jibu
Una uhakika kijana?Preta na Bigirita mbona hawa ni KE wote
Daaah, nimekusahau. Dena Amsi na Mr. Rocky.
Hiyo ya PJ imeshaeksipaya..manake new kamaz ni wengi humu.
Mama Tuli nilimwona Katavi akimkonyeza afu yeye akamchekea hivyo aende huko, huko.Acha kunagombanisha na Mama Tuli
Umeishamaliza kunywa chai juu ya bati au bado uko juu..
Sasa ningemjibu nini wakati hali halisi alikuwa anaiona mwenyewe, mtu unamwona ananywea chai juu ya bati afu unamwuliza anaelendeaje?!! Kilichonikera zaidi ni lile tabasam lake bana, mafuriko na tabasam wapi na wapi?Dah! Ila una vituko nasikia jana mkuu wa kaya alipokuja kukutembelea kukuuliza unaendeleaje ukagoma kabisa kumjibu akabakia ana duwaa mwenyewe..
Mama Tuli nilimwona Katavi akimkonyeza afu yeye akamchekea hivyo aende huko, huko.
Suala zuri, tumsubirie Mmasi afafanue, si ndio maana nimeuliza maana ya couples kwa kiswahili lakini amenichimba bonge la mkwala ikabidi niombe razi
Lol...nisaidie kuifuta, mie ufutio wangu umeisha...Katavi tena ngoja Mr. Rocky aone hapa shauri yako
Last born wake kamaliza chuo mwezi uliopita, sasa angalia sana unavyomuita mtu mzima mtoto!daah! Hivi hizi kupo za madeskmate nani kazitamka afu klorokwini sija kuchimba beat ila we si bado mtoto?
Utasutwa, kwani mie si nimeshaitaja hiyo kapo?Husninyo & uporoto01
baada ya kukuombea kwa kukupapasa ukapona sasa unaleta jeuri?
Siku nyingine ukiumwa namwambia mchungaji asikuombee
Lol...nisaidie kuifuta, mie ufutio wangu umeisha...
Last born wake kamaliza chuo mwezi uliopita, sasa angalia sana unavyomuita mtu mzima mtoto!
Utasutwa, kwani mie si nimeshaitaja hiyo kapo?