Unaweza oa mwanamke wa miaka 35?

Unaweza oa mwanamke wa miaka 35?

Thanks na haya ndio mawazo ya kiume kutoka kwa mwanaume anayetambua thamani yake na thamani ya mwanamke kwenye soko la mahusiano....!!

Thamani ya mwanamke inajengwa na vitu kama purity/less body counts,less sexual experience,high ability to bond and subservience.... na hivi vitu utavikuta kwa mwanamke mwenye umri chini ya miaka 24...

Thamani ya mwanamke kwenye mahusiano sio pesa zake au spirit yake ya upambanaji kama simps wanavyofikiri..!! Unless kwa mwanaume anayependa kulelewa/kuolewa na mishangazi ndio atamthaminjsha mwanamke kwa vigezo hivyo.
Kabisa kabisa. Hili halina upinzani.
Mwanamke ni uzuri na puurity yake.
Mambo ya kupambana hayana faida yoyote ile
 
Miaka 35 and two kids ni Binti?

Na Kingine inategemeana na umri Sasa kama wewe una miaka 40 mbona hakuna ubaya hapo na ana watoto wa kuanzia maisha kabsa
Duh mechi kabla haijaanza tiyari umeshapigwa chuma mbili, upo tiyari kwa hilo mkuu?
 
Baba tofauti ??? Ngoja aje akwambie wewe ni mdhaifu maana kashazoea mapigo ya kikomando
 
Mleta mada wewe ni mgane?(Mwanaume aliyefiwa na mke) au bado kijana unatafuta maisha?

Maana nikimuona mtu anataka kuoa halafu mwanamke mwenyewe single mama zaidi ya mtoto mmoja tena na wanaume wawili tofauti,wewe unatafuta kifo chako?yaani unakilazimisha kabisa kifo njoo nipo hapa!kama unayo hiyo sifa hapo juu ya kufiwa na mke tafuta mwanamke mjane oa kula maisha achana na hizo takataka.
 
Wakuu

Salaamu,naomba kuuliza tu mfano wewe umekutana na Binti wa miaka 35,mwenye watoto wawili baba tofauti,unaweza oa mwanamke wa dizaini hii?

Ni piss ya kwenda,mpambanaji but kasoro ni hiyo tu,
Ukiona mtu anatafuta mwanamke mpambanaji ujue huyo ni marioo
 
Back
Top Bottom