Unaweza oa mwanamke wa miaka 35?

Unaweza oa mwanamke wa miaka 35?

Mwanamke binti mwisho miaka 22mkuu, huyo ni bi kizee. Ilasijalishi mzuri vipi akiwa na mtoto hata mmoja tuhafai kuoa
1743804739318.png
 
Wakuu

Salaamu,naomba kuuliza tu mfano wewe umekutana na Binti wa miaka 35,mwenye watoto wawili baba tofauti,unaweza oa mwanamke wa dizaini hii?

Ni piss ya kwenda,mpambanaji but kasoro ni hiyo tu,
Inategamea na malengo na umri wa muoaji. Mfano mimi nataka mwanamke niishi nae ambaye kamaliza issues za kuzaa. Nahitaji kuanzia 45 na kuendelea.
Sasa kama unauliza kwa ajili ya kuoa na kuanzisha familia basi chukua huyo maana familia tayari keshakusaidia kuanzisha.
 
Unaoa tu ila utakuwa na wasiwasi kama huyo mwanamke atakuwa na mahusiano na baba za hao watoto wawili. Kama una roho ngumu hutajali uhusiano wao bali nawe utaona umejiunga kuwa mume wa tatu
 
Wakuu

Salaamu,naomba kuuliza tu mfano wewe umekutana na Binti wa miaka 35,mwenye watoto wawili baba tofauti,unaweza oa mwanamke wa dizaini hii?

Ni piss ya kwenda,mpambanaji but kasoro ni hiyo tu,
Baba wa hao watoto wamekufa au wapo hai?
 
Wakuu

Salaamu,naomba kuuliza tu mfano wewe umekutana na Binti wa miaka 35,mwenye watoto wawili baba tofauti,unaweza oa mwanamke wa dizaini hii?

Ni piss ya kwenda,mpambanaji but kasoro ni hiyo tu,
Makaburi mawili umeyaona????
 
Back
Top Bottom