Unaweza oa mwanamke wa miaka 35?

Unaweza oa mwanamke wa miaka 35?

Wakuu

Salaamu,naomba kuuliza tu mfano wewe umekutana na Binti wa miaka 35,mwenye watoto wawili baba tofauti,unaweza oa mwanamke wa dizaini hii?

Ni piss ya kwenda,mpambanaji but kasoro ni hiyo tu,
Wewe una miaka mingapi je unafahamu maana ya ndoa, (make)
 
Hawezi kuwa Binti huyo, labda kama na wewe una umri mara mbili yake ndio umuite Binti.
 
Wakuu

Salaamu,naomba kuuliza tu mfano wewe umekutana na Binti wa miaka 35,mwenye watoto wawili baba tofauti,unaweza oa mwanamke wa dizaini hii?

Ni piss ya kwenda,mpambanaji but kasoro ni hiyo tu,
Miaka 35 kwa mwanamke bado analipa kama anajitunza vizuri tena anaweza kuwapiku hadi vipinti vya 2000.
 
Wakuu

Salaamu,naomba kuuliza tu mfano wewe umekutana na Binti wa miaka 35,mwenye watoto wawili baba tofauti,unaweza oa mwanamke wa dizaini hii?

Ni piss ya kwenda,mpambanaji but kasoro ni hiyo tu,
huyo sio binti ni mwanamke,ndio ukimpenda unamuoa tu
 
Wakuu

Salaamu,naomba kuuliza tu mfano wewe umekutana na Binti wa miaka 35,mwenye watoto wawili baba tofauti,unaweza oa mwanamke wa dizaini hii?

Ni piss ya kwenda,mpambanaji but kasoro ni hiyo tu,
Ndo tunataka tuone kwako tunakusikilizia utaweza ama hautaweza!
 
Mie naoa mwanamke wa 18-24 basi. Mwenye umri juu ya hapo mie namgegeda tuu kenge huyo
Thanks na haya ndio mawazo ya kiume kutoka kwa mwanaume anayetambua thamani yake na thamani ya mwanamke kwenye soko la mahusiano....!!

Thamani ya mwanamke inajengwa na vitu kama purity/less body counts,less sexual experience,high ability to bond and subservience.... na hivi vitu utavikuta kwa mwanamke mwenye umri chini ya miaka 24...

Thamani ya mwanamke kwenye mahusiano sio pesa zake au spirit yake ya upambanaji kama simps wanavyofikiri..!! Unless kwa mwanaume anayependa kulelewa/kuolewa na mishangazi ndio atamthaminjsha mwanamke kwa vigezo hivyo.
 
Back
Top Bottom